Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Mkuu, wamechanganyikiwa hawa. Baada ya Tingatinga kutangazwa mgombea Urais, wamejitathmini wakaona hawana mwenye uwezo wa kupambana na tingatinga. Sasa wanaokoteza makapi ya CCM

Pole yako, naona leo upo bize sana
 
hivi mnajua garama alizotumia muamerika kupambana na Osama? je chadema wako tayari ku-incur hizo gharama? sidhani kama mfano wako ni relevant.


Acha kuweweseka wewe gamba. Mwaka huu Urais mtauisikia kupitia kwenye bomba. Gwiji wa siasa za Tanzania tayari keshaingia ulingoni. Safari ya matumaini bado inaendelea. Sasa imezaa safari ya uhakika!
 
Namwona Prof. Baregu roho imemsuta ameshindwa hata kumtizama Lowassa usoni, CDM wamejipalia mkaa wa moto kwa kukubali kukipiga bei chama
 
Masikini!!!!! Nilisha decide, nimerudishwa kuwa undecided. Basi bwana. Nilipanga kumpa kura yangu Dr. slaa na nyingine DEO, leo chadema wamepigilia msumali moyoni mwangu.
 
Mnayoyataka ndio mnayakubali, ten billion ndio zinamtesa DJ.

Jamaa kaingizwa mkenge kakipiga bei chama na kuwakabidhi rasmi mafisadi wakiendeshe wenyewe, hapa ni mwendo wa remote control mpaka watajuta
 
Namwona Prof. Baregu roho imemsuta ameshindwa hata kumtizama Lowassa usoni, CDM wamejipalia mkaa wa moto kwa kukubali kukipiga bei chama
Kama Lowassa ni fisadi hiyo serikali yenu dhaifu mbona haijamchukulia hatua yoyote?
 
don't thnk edo ni osama
cdm wanajaribu kufanya jambo ambalo halipo kisiasa. tusubiri dk slaa atasemaje. ss chama chageuka kuwa bidhaa ccm waliliona hilo ndo mana wakaruka mtego ukweli cdm inaenda kufa although itapata nguvu shortly japo cyo yeny uwezo wa kushka dola
 
Mkuu umezungumza kweli tupu na mimi naongeza kuwa kwa mwendo huu hakunachama cha kizalendo wote wapigaji tu! Dr.slaa na lisu wanachakutuambia wanachadema !

Naomba kama haya yasemwayo ni tetesi basi yabaki hivyo lkn dr.slaa ama mwingine yoyote lkn co huyo lowasa tutapoteza tena
I don't trust these people anymore kumbe jamaa wanatugeuza mazuzu mpaka watu wanakufa.kumbe ni suala la ajira tu
 
Kumbuka hata Marekani ilimtumia gaidi Osama Bin Laden kuisambaratisha Urusi. Iwapo Lowassa ana uwezo wa kuisambaratisha CCM ni lazima CDM wamtumie! Lengo ni kuing'oa CCM madarakani! Siasa ni strategy na hii ni fursa nzuri ya CCM kufa hata kama ni kwa mbinu chafu! Mengine baadae!!
Na inawezekana pia akawa anatumiwa na CCM kuiangamiza CDM, umakini unahitajika kwenye hili jambo sio kukurupuka tuu.
 
Tena ni vizuri waipeleke hiyo kesi

Ni timing Nzuri na Ni Political Asset

Wameipeleka mahakamani ili kumfunga mdo asiiongeleee

Mkuu amini usiamini Richmond sio ya Lowasa ni ya KIKWETE

Na CCM wanamuogopa Lowasa kwa sababu anajua mengi ...na sio mtu wa kuchezea

Sidhani kama Lowassa ni mjinga kihivyo.Hivi unajua watu wengi wako implicated kwenye hiyo kesi?Kuna Waziri na Naibu wake,Katibu,mwanasheria mkuu wa serikali ambaye ni Chenge.duh! Sinema hii nzuri inabidi uongeze😛opcorn
 
mbowe amesema kwenye press conference kuwa picha zimetengenezwa....

Mbowe kachemsha ............. nafikiri alitaka kufanya siri mpaka atakapotangazwa rasmi.

Anyway, it's too late for that!!
 
Adui ni adui tu. Unapodhamiria kummaliza adui na hasimu wako mkuu unapaswa kutumia kila njia kummaliza. Na njia rahisi ya kummaliza ni kujiunga na wale wote waliojeruhiwa na adui yako ili muweze kumsawazisha kwa nguvu kidogo. Our enemy is the ccm which has been on power for almost 50yrs with sufferings and backward development. Welcome Lowasa to fight our biggest snake (ccm). "Aluta continua"
Tutatumia njia yoyote kuitoa ccm, hata kwa kuazima zana. Lazima nyoka tumkate kichwa
 
Acha kuweweseka wewe gamba. Mwaka huu Urais mtauisikia kupitia kwenye bomba. Gwiji wa siasa za Tanzania tayari keshaingia ulingoni. Safari ya matumaini bado inaendelea. Sasa imezaa safari ya uhakika!

Bwa'mdogo endelea kujipa matumaini ya 2025 kuchukua urais...kwasasa watanzania wameshaamua Magufuli
 
Chadema ni kama msikitii au kanisa jamani mtu akijitambua harusiwi kutubu dhambi? Msijari makamanda aluta contienue
 
Kumbuka hata Marekani ilimtumia gaidi Osama Bin Laden kuisambaratisha Urusi. Iwapo Lowassa ana uwezo wa kuisambaratisha CCM ni lazima CDM wamtumie! Lengo ni kuing'oa CCM madarakani! Siasa ni strategy na hii ni fursa nzuri ya CCM kufa hata kama ni kwa mbinu chafu! Mengine baadae!!

Lkn Osama alijuwa CIA hakuwa mrusi wala adui wa USA kwa hiyo walitumia mtu wao na si adui yao
 
Back
Top Bottom