Picha kutoka photoshop, hebu cheki jamaa aliyekaa karibu na lowassa alivyopigwa pasi.
Kama kweli CHADEMA kwisha kazi. Wamejipeleka kaburini huku wakiona na kutizama. Inatia huruma kwa Watanzania waliokuwa na matumaini kwa chama chao cha CHADEMA. Watakimbilia wapi??? Sitashangaa wakirudi kwa CCM ambao wameonyesha kuanza vita dhidi ya ufisadi kwa kumuengua Lowasa kwenye kugombea urais wa nchi.
hana jipya. hao hao chadema kupitia katibu mkuu walimwita lowasa fisadi hakafu hao hao leo wanampokea. lowassa bora atulie tu akihamia chadema kaisha[/QUO
Binadamu sio mawe adui wa jana sio wa leo
Lowassa akihudhuria kikao Kamati kuu CHADEMA
View attachment 271482
Waziri Mkuu Mstaafu wa JMT Mh. Edward Ngoyai Lowassa, akisalimiana na viongozi na wanachama wa CHADEMA
Waziri Mkuu Mstaafu wa JMT Mh. Edward Ngoyai Lowassa akiwa Meza Kuu na viogozi wa CHADEMA
Hiyo picha umeitoa wapi??
Mkombozi wa kweli ni lazima atumie mbinu mbalimbali kuwakomboa watu wake. Kama hii ndio njia ya kuwang'oa wakoloni weusi basi na iwe hivyo. Go UKAWA!Lowasa na CHADEMA mhhh
Siasa za bongo eti wakombozi ha ha ha ha ha
Mkombozi wa kweli ni lazima atumie mbinu mbalimbali kuwakomboa watu wake. Kama hii ndio njia ya kuwang'oa wakoloni weusi basi na iwe hivyo. Go UKAWA!
Unamung'oa nani kimantiki OCT
Uchaguzi utakuwa kati ya CCM matajiri walio hamia upande wa pili na CCM masikili upande wa MAGUFULI.
Msijidanganye kwa mfano Lowasa akiwa rais(japo naamini haiwezi kua) kwamba CHADEMA itamzibiti, yeye ndo atawadhibiti na atafanyalo analotaka. Ukumbuke ataapishwa kwa katiba ya JMT na sio ya CHADEMA.
Harafu king'ang'anizi wa namna hii akiwa na madaraka mtasota tu.
Kwa hiyo unataka kutuambia CCM wakiendelea kukaa madarakani ndio wataacha kudhibiti madaraka na kufanya wanalotaka au?! Mbona unakuwa mnafiki hivyo?!
Hii picha ni ya kweli au ni ya teknlojia ya computer?
Haya sasa ndio maamuzi magumu.
Adui yetu kwa sasa ni CCM na si Lowassa mengine yote mbele kwa mbele.
Ni burudani tosha yaani raha tupu.
Lowassa akihudhuria kikao Kamati kuu CHADEMA
View attachment 271482
Waziri Mkuu Mstaafu wa JMT Mh. Edward Ngoyai Lowassa, akisalimiana na viongozi na wanachama wa CHADEMA
View attachment 271483
Waziri Mkuu Mstaafu wa JMT Mh. Edward Ngoyai Lowassa akiwa Meza Kuu na viogozi wa CHADEMA