Mkambarani
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 287
- 252
The enemy of my enemy is my friend
"Hatukujiunga na CHADEMA eti kwa sababu ulituahidi kazi, hapana tulijiunga na CHADEMA wakati mgumu kwa nchi yetu. Tulijiunga kwa kuwa tulitaka kuwa sehemu ya mapambano dhidi Rushwa, Ufisadi na Mafisadi.
Tuliingia CHADEMA kwa sababu tuliamini kile ambacho CHADEMA ilikisimamia na kukipigania, ndiyo maana tukawa sehemu ya mapambano.
Wewe Freeman Mbowe si sehemu ya Mapambo kwani umesharuhusu watu ambao tuliaminishwa kuwa ni mafisadi kuingia katika chama ambacho ndicho kilikuwa kimbilio la wananchi.
Wewe kaa na CHADEMA LOWASA yako Mimi nitabaki kuwa CHADEMA ASILIA.
Ni mimi mwana CHADEMA ASILIA
The enemy of my enemy is my friend
Hii ni zaidi ya propaganda, huyu mzee atapotea kama Mrema tu.
Hivi kingwendu na wewe nani zaidi?
Lowasa bado hajaamua. Kuna mvutano mkubwa baina ya pande mbili zinazomuunga mkono. Marafiki zake na Wafuasi wake. CHADEMA wanahaha kuwahadaa Watanzania kwa vile hawana mgombea mwenye hadhi ya kusimama kuwania kiti cha Urais
kwan Freemason ndo nini
Unajua maana ya neno Mmawia mkuu?
Unajua maana ya neno Mmawia mkuu?
Sasa akihama na hao wabunge 150, si maana yake n i kuwa chama cha Chadema kinajigeuza kuwa CCM? Hivi CHADEMA/UKAWA watashughulikiaje wanachama wao waliowania nafasi za uongozi katika majimbo ya hao wafuasi wa Lowassa?Mambo yameivaa Bahari Beach Hotel.
View attachment 271473
View attachment 271476
************************** Updates *************************