Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Tatizo la vichwapanzi wengi ni kuangalia kila ishu kwa miwani ya mbao ya u-CCM, u-CDM/UKAWA,nk. Laiti ungeweka kando ushabiki wa kisiasa na kutambua hadhi ya JF kama miongoni mwa vyanzo vya habari vya kuaminika, relatively, basi ingetambua kuwa photoshops hazina fursa mahali hapa. Grow up!

Sijakukatalia nilichokueleza ni nani wa kulaumiwa.Mko wapi kututangazia Mgombea wa UKAWA?Hivi mpaka watu waweke upuuzi na kuichafua UKAWA NDIYO mje mbio?Unakuja na moto matusi mengiiii,haya wameshachafua Ukawa na hasa Chadema unaanzaje kukitetea chama?Hivi CDM mmekosa presidential material mpaka kumsubiri takataka toka CCM?Walaumu viongozi walioshindwa kukitetea chama.Walaumu walioshindwa kuona chama na wanachama ni bora kuliko pesa za Lowassa!Mlitaka tifanyeje?Tushangilie ujio wa Lowassa?oh mfumo,mfumo my foot.

Kila mtu na mawazo yake.CDM mlituaminisha Lowassa mchafu leo kwa msafi??

Kwanini tusiamini hizo picha wakati viongozi wetu wako busy kumtafuta Lowassa?Shame on you all mnaoona bora Lowassa kuliko wanachama wenu walishinda mchana na usiku kutetea chama lakini huyu aliyekuwa sababu ya wanaCDM kutaabika leo mnmuaona wa maan na kuanza kutukana watu.Pole

Mbona siwaelewi?Lissu yuko wapi,Mnyika na Dr.Slaa watueleze kinagaubaga usafi wa Lowassa
 
Sijakukatalia nilichokueleza ni nani wa kulaumiwa.Mko wapi kututangazia Mgombea wa UKAWA?Hivi mpaka watu waweke upuuzi na kuichafua UKAWA NDIYO mje mbio?Unakuja na moto matusi mengiiii,haya wameshachafua Ukawa na hasa Chadema unaanzaje kukitetea chama?Hivi CDM mmekosa presidential material mpaka kumsubiri takataka toka CCM?Walaumu viongozi walioshindwa kukitetea chama.Walaumu walioshindwa kuona chama na wanachama ni bora kuliko pesa za Lowassa!Mlitaka tifanyeje?Tushangilie ujio wa Lowassa?oh mfumo,mfumo my foot.

Kila mtu na mawazo yake.CDM mlituaminisha Lowassa mchafu leo kwa msafi??

Mbona siwaelewi?Lissu yuko wapi,Mnyika na Dr.Slaa watueleze kinagaubaga usafi wa Lowassa

Kwanini tusiamini picha wakati viongozi wako busy kumtafuta Lowassa?

mlimkata sasa mbona mnalalamika baaada ya kujiondokea na kuwaachia chama chenu?
 
Attachments

  • 1438026323517.jpg
    1438026323517.jpg
    51.1 KB · Views: 13,161
  • 1438026338219.jpg
    1438026338219.jpg
    59.2 KB · Views: 21,471
Naomba tusijidanganye kwa kusema sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, kama ni hivyo basi hata sauti za wanaccm Bungeni zilikuwa za Mungu, si ni wengi!!!
 
So so sad,mapinzani Wa tz in wanafiki sana,si ndo walikuwa wanaandamana nchi nzima lowassa ni fisadi!!! Leo huyo huyo kawapa kazi ya kumsafisha!!!! Kwa kumhalalisha lowassa Leo,hamuoni kua mnawasaliti walikuwa wanawaunga mkono kwa mgongo Wa kuchukia wenzi Wa maliasili za nchi hii! Wapinzani wameniangusha sana mi binafsi,I was so proud of them!!! To night Am so down!!!!
 
Kumkataa Lowassa ni uchanga wa kisiasa, dola inachuliwa kwa style yoyote ile inayowezekana. CCM wanaua ili kulinda madaraka nyie kumchukua mtu kutoka CCM atakayewaumiza mnaona ni njia haramu ya kupata madaraka, Nawaombeni tukasome Theory za Machiavelli kuhusu Politics (Power) itatupanua uelewa kidogo wale tunaopinga political move ya Chadema kuhusu Lowasa. Halafu political immaturity tusiitoe nje ya group tutakuwa tuna expose our extreme ignorance on politics! Yani kuna watu wanaona ni bora CCM iendelee kutawala kuliko Chadema kushinda dola kwa kumtumia Lowasa. Hawa watu wanawapenda watanzania kweli? Hivi tunavyokuwa tunasema tunataka kuing'oa ccm madarakani tulikuwa tunajua kweli what it takes kukiondoa chama tawala madarakani, tunadhani ni kazi nyepesi? tuiamini kamati kuu ya chadema kama ambavyo tuliiamini kuhusu kumuondoa Zitto Chadema, they know what they are doing, and I even know more of what they are doing. Nitatetea huu msimamo kwa nguvu zote. They have made the right move at the right time, only time will tell you how right we are with this move. Siasa ni science na sanaa at the same time.

Lazima watu wajue, Malengo ya chama chochote duniani ni kushika Dola. Ndivyo ilivyo kwa CHADEMA/UKAWA, malengo yao ni:-
  1. Kushika Dola/Kuingia Ikulu
  2. Kushika Dola/Kuingia Ikulu
  3. Kushika dola/Kuingia Ikulu
  4. .......
Hivyo basi wote ambao wanapenda kuona CCM inang'oka madarakani, suala la Lowasa kuhamia CDM haita kuwa shida kwao kwasababu ni ukweli ulio wazi kwamba kuja kwa Lowasa CDM kutaisambaratisha CCM na hivyo itakuwa kazi rahisi kuchukua Dola.
 
Hhaahhahahah...Sorry mdada....hope umnielewa

Kwa hio usiwe na hofu

CDM hua haikurupuki....Maamuzi yote huwa yako well thought....

Badala ya kuijenga naona mmeamua kuibomoa.Kama mngempa nafasi ya kuwa mwanachama wa kawaida nisingekuwa na neno.

Hivi niambie Lissu,Dr.Slaa na JJMnyika mnawaweka wapi?Unajua siwaelewi na sita waelewa kamwe.

Kaka kura yangu kwa Lowassa ni HAPANA,Kwa JJMnyik ni Ndiyo na nitampigia debe sana lakini huyonFiasadi wenunduh!!!Mnisamehe bure wala hamtanielez kitu...

Huyu aliyetupa mabialioni ya shillingi najiuliza atayarudishaje haya manikopo?

Tuoneeni huruma watanzania,nusu ya nchi imeshuzwa leo mnataka tumalizie na nusu nyingine?Hivi mpaka leo hTuoni ubaya wa kununua uongozi?Hivi hamjajifunza kwa anayetoka?Basi hata hili linahitaji PHD??

Niiteeni jina lolote liwe hata mniambie nirudishe kadi yenu lakini kamwe sikubaliani na Lipumba,Mbowe wala Mbatia ya kumpa Lowassa nafasi ya kugombea urais kwa tiketi ya ukawa.Huo ndiyo msimamo wangu.
 
Utaitwa msaliti sasa hivi....njoo kwa wazalendo
 
Back
Top Bottom