mkumbwa junior
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 841
- 1,668
Kumkataa Lowassa ni uchanga wa kisiasa, dola inachuliwa kwa style yoyote ile inayowezekana. CCM wanaua ili kulinda madaraka nyie kumchukua mtu kutoka CCM atakayewaumiza mnaona ni njia haramu ya kupata madaraka, Nawaombeni tukasome Theory za Machiavelli kuhusu Politics (Power) itatupanua uelewa kidogo wale tunaopinga political move ya Chadema kuhusu Lowasa. Halafu political immaturity tusiitoe nje ya group tutakuwa tuna expose our extreme ignorance on politics! Yani kuna watu wanaona ni bora CCM iendelee kutawala kuliko Chadema kushinda dola kwa kumtumia Lowasa. Hawa watu wanawapenda watanzania kweli? Hivi tunavyokuwa tunasema tunataka kuing'oa ccm madarakani tulikuwa tunajua kweli what it takes kukiondoa chama tawala madarakani, tunadhani ni kazi nyepesi? tuiamini kamati kuu ya chadema kama ambavyo tuliiamini kuhusu kumuondoa Zitto Chadema, they know what they are doing, and I even know more of what they are doing. Nitatetea huu msimamo kwa nguvu zote. They have made the right move at the right time, only time will tell you how right we are with this move. Siasa ni science na sanaa at the same time.