CONSTRUCTIVE THOUGHT
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,158
- 417
Kajiunga bado kutangazwa rasmi mkuu..... saizi wamemloweka kwenye jiki ili awe msafi siunajua Dk. Slaa na timu nzima ya CHADEMA walimchafua sana.
Nimetîzama taarifa ya habari. CHADEMA hawajaongea kitu.
Ameongea MBATIA,MTEI na LIPUMBA.
Wamchukue LOWASSA waende nae, CHADEMA jitengeni hao UKAWA.
Akili hawana.
Kaka Dopas! Asante, hakika namaanisha (pasco)!Wa kinyau Pascal yupi unamuuliza, au Pasco wa JF?
Kabla hajakujibu mhusika nakushauri tu uvute subira, kama ni yeye atajajulikana tu.
CHADEMA walipanga kumtangaza kesho pale Kempisky. Usiku Mwaka. Jamaa kawabadilikia hatua za mwisho
Okay, nadhani unaweza kupata jibu kwingine hata kabla Pasco hajatokeaKaka Dopas! Asante, hakika namaanisha (pasco)!
Kweli kabisa Mkuu. Ndo maana nimesema usiku mwakalakini pia anaweza badilika leo usiku tusubiri hiyo kesho
Hii picha ni ya kweli au ni ya teknlojia ya computer?
Haya sasa ndio maamuzi magumu.
Adui yetu kwa sasa ni CCM na si Lowassa mengine yote mbele kwa mbele.
Ni burudani tosha yaani raha tupu.
lizaboni inabidi aongezewe mshahara
Acha kucheza na akili za watu. Photoshop at work.
Makamanda wametweta, Baregu kajiinamia kaficha uso asipigwe picha, Slaa kaduwaa, kwa ujumla makamanda wote hawana sura ya furaha hata chembe, jembe ni jembe limetia timu.
Baregu uso umemshuka kama dume la shupaza
Dr Slaa hajiamini ameweka tabasamu la mamba
Oooh kuna kupata na kupotea cdm kiitikadi
Mayoooooooo!! Watu watakufa kwa presha