Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Politics at its best; neither permanent friends nor permanent enemies. Wasiojua hili watashangaa lakini wanaoujua huu ukweli wala hawapati shida. Na mwanasiasa mmoja wa Uingereza alipata kusema politics is the art of the possible.
 
Mpaka muda huu kuna mikusanyiko ya watu mitaani wakijadiliana kuhusu lowassa kujiunga na CHADEMA,wengi wao wanafurahia uamuzi huo,wengine wanasema hawezi kukihama chama ...je na mimi nauliza swali kwenu wanajamvi kwamba,hizi ni habari za kweli?
 

Attachments

  • 1438014694705.jpg
    1438014694705.jpg
    14.2 KB · Views: 462
Heshima kwenu wanabodi!

Leo imekuwa siku ya historia ktk Nchi yetu, nchi yenye matunda matamu na asali, sina haja ya kuelezea nn kimetokea siku ya leo, wenye macho wameona na wenye masikio wamesikia! Of course kuna mjumbe mmoja aliandika "picha talks more" wote tumeona, na Siyo picha za kutengeneza, kuna sinto fahamu upande Wa pili upende usipende! Mmmh! Sasa nauliza huyu ndiye au tuendelee kusubiri !?
 
Kumbuka hata Marekani ilimtumia gaidi Osama Bin Laden kuisambaratisha Urusi. Iwapo Lowassa ana uwezo wa kuisambaratisha CCM ni lazima CDM wamtumie! Lengo ni kuing'oa CCM madarakani! Siasa ni strategy na hii ni fursa nzuri ya CCM kufa hata kama ni kwa mbinu chafu! Mengine baadae!!

We ushuz tumechoka na hii comment yako kila thread
 
Hapana hapo alienda kuwasalimia tu wajumbe wa mkutano wa CHADEMA akapiga nao picha
 
Nimetîzama taarifa ya habari. CHADEMA hawajaongea kitu.
Ameongea MBATIA,MTEI na LIPUMBA.
Wamchukue LOWASSA waende nae, CHADEMA jitengeni hao UKAWA.
Akili hawana.
 
We Kinyau Pascal yupi unamuuliza, au Pasco wa JF?
Kabla hajakujibu mhusika nakushauri tu uvute subira, kama ni yeye atajajulikana tu.
 
Poleni sana kamanda, bilioni 10 siyo mchezo.
 
Mwanga Lutila:

Unamkumbuka rais Golbachov wa Urusi??? Kama jibu lako ni NDIO basi unapaswa kuwa sehemu ya mapambano haya.
Hadi ukuta wa Berlin ulianguka kadadadeki!!!!!
 
Kama ni kweli basi hakuna siasa hapa tz ni kudanganyana tu na chadema watakua wamejichimbia kaburi
 
Lowasa bado hajaamua. Kuna mvutano mkubwa baina ya pande mbili zinazomuunga mkono. Marafiki zake na Wafuasi wake. CHADEMA wanahaha kuwahadaa Watanzania kwa vile hawana mgombea mwenye hadhi ya kusimama kuwania kiti cha Urais
 
Back
Top Bottom