Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Yaani ccm inaenda kugombea urais ukawa!!! Kumbe kweli ukawa hawakuwa na mtu anayefaa kugombea urais.
 
miye mwili wote unatetemeka sijui kwa nini ebu wadau hiyo ni real au photoshop
 
Acha Tanzania angalau iwe na Siasa za Upinzani. Tumechoka chama kimoja
 
Mziki sasa Umenoga. Karibu Mzee Wetu Lowassa, Karibu tusaidiane Kuikomboa Nchi, Mfumo Uliotamalaki tuubomoe na Kuunda Taifa la Watu wote.

Watanzania Wanakuhitaji Kwa sasa na Ni Muda Muafaka wa Kuonyesha kwamba Hata Rais Anaweza Kutoka Potepote including Kaskazini.Tupo Pamoja Hadi Ushindi.

Wewe Ndiye Mwl. Nyerere alitabiri ya Kwamba Ushindani wa kweli Utatoka CCM; Njia ya Kwenda Ikulu ni Nyeupe na Matumaini tuliyonayo ni Makubwa.

SaSa CCM Watulie Upepo ndo Umeshavuma na Nyeti za Kuku Soon Zitakuwa Wazi (Mh. Lembeli).
 
Back
Top Bottom