Lowassa kuna kitu anatafuta.siyo uongozi.hapana siyo bure.
Hivi kuna watu bado wanafikra kuwa rais wa tz anaweza kutoka nje ya CCM kwa wakati wa sasa.
Kweli nchi inakwenda kutikisika, huku mitaani,maofisini,masokoni, kila kona Ni habari ya mujini mwamba WA siasa za tz Katua ukawa..na hyo Ni rasharasha sasa mafuriko kamili yanakuja kaeni mkao WA Kula nchi inakwenda kusimama na kutikisika
Kwani wewe kwa sasa upo chama gani? Maana umekuwa bendera fuata upepo. Lowasa akigoma CHADEMA na kujiunga ACT unaelekea huko. Njaa mbaya sanaKabisa...... 25.10.2015 kazi kwisha.... Toa wezi Ma CCM futa delete kabisa...
Sijapata jibu Dr Slaa atagombea ubunge?
Tehetehetehe. Karibu fisadi LowasaKarbu sir lowassa
wengi wetu tuliichukia ccm sababu ya ufsad Wa akina lowasa,Leo eti lowasa huyuhuyu asaidie kuiondoa ccm,to hell wote waliotusaliti.tutawazomea wote walioshiriki huu uovu.
Siamini macho yangu
Mungu anipe uvumilivu aisee nione hadi mwisho!!!
Hana neno la kusema zaidi ya UraisKuna neno ambalo bosi mmoja alimwambia Yesu, sema neno moja tu na mwanangu atapona. Sasa Edo anatakiwa aseme neno moja tu na tutapata amani.
Kabisa...... 25.10.2015 kazi kwisha.... Toa wezi Ma CCM futa delete kabisa...