Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Isije kuwa CCM wanajifanya CDM? Huyo jamaa kama mtaji kwanini asikae UKAWA tena hagombei urais?
 
Ndugu zangu,
Imeniumiza Sana kugundua nchi hii haina Chama cha upinzani ila wachumia matumbo tu.

Lowasa akiwa CCM atakuwa mwizi, fisadi na mgonjwa.
Ila akiwa CHADEMA ni mtu Safi ni mwenye afya na mwaminifu.

Mimi ninamkubali Sana Lowasa ila chadema ni matapeli wanamchafua mtu kwa hila na unafiki Mungu awalaani kwa kuwarubuni watanzania.

Lowasa ukishika uongozi jua Hao siyo watu kaa nao kwa akili, wamependa pesa zako!.

Ukishika tu madaraka sambaratisha kwanza ngome ya huyu mmachame.

Ndugu zanguni kama siasa haikuingizii pesa achana nayo wenzenu wanatafuta pesa nyie mnajiita Makamanda.

Kafanyiwa "KITUBIO" na UKAWA, Na kakubali na kukiri makosa yake yote ya zamani, sasa ni kondoo safi karudi kundini huyu mwana mpotevu (KAZALIWA UPYA),
 
CDM wasije wakasema hatukuwaonya.Hii ni hatari.Huwezi ukawa chama kinachodai kinasimamia uadilifu na uzalendo ukamchukua fisadi kama huyu Lowasa.Mimi sitakuwa sehemu ya uchafu huu.
 
Kwa ujumla mimi sielewi kabisa, lakini kwa vyovyote vile na katika mazingira yoyote yale ambayo kwa njia moja ama nyingine yatapelekea hiki kitu kuwa kweli, basi pasipo na chembe yoyote ya shaka nitakuwa nimeamini kuanzia sasa kuwa ni kweli Tanzania hatuna vyama vya upinzani bali tuna vyama vinavyoongozwa na watu ambao sio viongozi bali ni wale wenye uroho tu wa madaraka. Haiingii akili, mtu yule yule unarudi nyuma na kisha kula matapishi yako! And frankly speaking, shame on you, CHADEMA!
 
kwa mara ya kwanza nashuhudia ''maamuzi magumu''....................now this is legit...
 
Nimeona sanaa nyingi ila hii imetia fora
 
siasa ni mchezo mchafu hakuna chama chenye nia ya dhati kumukomboa mtanzania

Umesema ukweli japo unauma sana.Na hata wale wenye NIA ya kusaidia hawana nguvu.I wish kungekuwepo na mgombea binafsi.

Namuangalia Dr.Slaa akitoka nje atakuja kutuambia nini watanzania?Je,tutamuamini?Ninajiuliza kwa sauti hivi ni kweli CDM imekuwa chama cha kifamilia kama wanavyokinanga?Kwamba Mtei akiongea basi wote mnakubali?Nimeshangazwa na hilo.

Ila kama kuna hata mwenye AIBU japo kidogo basi aikubali huo ujinga.

Na kwangu ni NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO kwa Lowassa.
 
Duh nimeamini cdm ni uchaga damu. Yani wao hela mbele tu. Alafu slaa na mbowe ni wanafiki Wa kutupwa
 
It is really unbelievable, hivi kumbe sisi Watanzania karibu wote ni wachumia tumbo? Hivi ni kweli hili limetokea? Sipati picha hawa waliomsema Lowassa ni fisadi mkubwa mpaka wakamtaja kwenye list of shame leo hii wanakaa meza moja na kujadiliana apate nafasi ya kuwa rais.Shame. Mbowe anakiua chama. Hivi huyo Slaa anajisikiaje? anakula matapishi yake mwenyewe? Yaani hainingii akilini kwa kweli. Mnyika, Tundu Lisu, Lema, Mdee mmekubali kweli haya yatokee? Kweli sasa nimeamini pesa inavunja milima!!!
Mkuu tupo pamoja. Yaani leo hawa Jamaa wameniharibia siku. Hivi Lowasa ana Watu gani zaidi ya kununua,Watu? Na alaaniwe mtu aliyekuhadia huyu mtu aje Chadema na agombee uraisi. Hivi wakiita mikutano bila kukodi maroli na wWatu tunakwenda wamepata kiburi? Kwa kweli kama atakuwa mwanachama wa kawaida aje lkn sio Rais. Ole wenu mkija na Lowasa wenu mtafutika ghafla kwenye siasa za TZ. Dr. Kanusulika kuuawa Mara ngapi? Wananchi Wa ngapi wamefilisiwa na kuuawa na kuacha familia zao zikiteseka. Lowasa alikuwa wapi? Lowasa kawahi lala mahabusu? Kawahi pigwa virungu kama Mke Wa Dr Slaa? Acheni ujinga. Naamini Tundu Lissu na Dr hamtakubari ujinga huu.
 
CDM wasije wakasema hatukuwaonya.Hii ni hatari.Huwezi ukawa chama kinachodai kinasimamia uadilifu na uzalendo ukamchukua fisadi kama huyu Lowasa.Mimi sitakuwa sehemu ya uchafu huu.

Kama kuna kiongozi atakayekusikiliza, sidhani,maana wote yaelekea wamelambishwa ASALI tayari,hakuna cha LISSU wala SLAA wote ni wamoja tu
 
The rejected stone is becoming a stepping stone wow!!

"Jiwe walilolikataa waashi hilo limekuwa jiwe kuu la pembeni. Neno hili limetoka kwa Bwana nalo ni ajabu machoni petu". Bwana Mungu hutenda kazi zake kwa namna ya jabu kabisa kabisa.

Wale msiowategemea huwainua ili awakomboe watu wake kutoka katika udhalimu sugu wa kimfumo uliowakandamiza watu wake. Ngome inaenda kusambaratika.

Hawakuyaona maandishi ukutani? Babeli kwisha habari yake; utabaki ukiwa hata wanyonyao, nao hayawani wa porini na nyuni wa angani watashangilia anguko lako. Kwa hakika hata tembo na faru wa porini watapata pumziko.
 
Mkuu tupo pamoja. Yaani leo hawa Jamaa wameniharibia siku. Hivi Lowasa ana Watu gani zaidi ya kununua,Watu? Na alaaniwe mtu aliyekuhadia huyu mtu aje Chadema na agombee uraisi. Hivi wakiita mikutano bila kukodi maroli na wWatu tunakwenda wamepata kiburi? Kwa kweli kama atakuwa mwanachama wa kawaida aje lkn sio Rais. Ole wenu mkija na Lowasa wenu mtafutika ghafla kwenye siasa za TZ. Dr. Kanusulika kuuawa Mara ngapi? Wananchi Wa ngapi wamefilisiwa na kuuawa na kuacha familia zao zikiteseka. Lowasa alikuwa wapi? Lowasa kawahi lala mahabusu? Kawahi pigwa virungu kama Mke Wa Dr Slaa? Acheni ujinga. Naamini Tundu Lissu na Dr hamtakubari ujinga huu.

Wameshakubali vijisenti.Ni sisi watanzania kuamua NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO kwa FISADI LOWASSA.

Kama wanadhani watanzania ni wapumbavu sasa hivi tunatakiwa kuwaonyesha hawa wajinga sasa basi.Kama hata Dr.Slaa naye!!!!!!!!!!!!!!!!!:A S confused::A S confused:
 
Mungu alishawalaani ccm miaka mingi iliyopita na bado wanadunda...itakuaje chadema...? Kengere ya mapinduzi ndo ishalia hivyo hakuna namna mwaka huu ndo mwanzo wa ccm kugeuka chama cha upinzani
 
Mkuu tupo pamoja. Yaani leo hawa Jamaa wameniharibia siku. Hivi Lowasa ana Watu gani zaidi ya kununua,Watu? Na alaaniwe mtu aliyekuhadia huyu mtu aje Chadema na agombee uraisi. Hivi wakiita mikutano bila kukodi maroli na wWatu tunakwenda wamepata kiburi? Kwa kweli kama atakuwa mwanachama wa kawaida aje lkn sio Rais. Ole wenu mkija na Lowasa wenu mtafutika ghafla kwenye siasa za TZ. Dr. Kanusulika kuuawa Mara ngapi? Wananchi Wa ngapi wamefilisiwa na kuuawa na kuacha familia zao zikiteseka. Lowasa alikuwa wapi? Lowasa kawahi lala mahabusu? Kawahi pigwa virungu kama Mke Wa Dr Slaa? Acheni ujinga. Naamini Tundu Lissu na Dr hamtakubari ujinga huu.

Sipigi kura nasema. Kwasababu hakuna mtu wa maana kwenye safu ya urais.
Ova!
 
Back
Top Bottom