Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,233
Kuna kitu gani atasema? Msishangilie ngoma bado mbichi
Ngoma ipi?
Hahahahahah
Unakumbuka Lowasa alivyoimbiwa na Wana CCM wenzake pale dodoma kwamba wana imani naye?
Pia ...RICHMOND anaenda kukabidhiwa muhusika...jakaya Mrisho kikwete...Kila kitu lazima kiwe wazi