Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Hakika leo nimecheka sana,chadema leo wana mlilia lowasa awaokoe jmn padrii kashindwa ukombozi hhaaahaaaa aise,,,,,ilike it
 
Nyie mtulie tu ccm mwaka huu mshalikoroga mnapata kiwewe sasa

Hahahahaha CCM kwishney.... Chama kinaendeshwa na familia unategemea nini?.....

Eti Riz one na Mama Salma ndio waamuzi wakuu wa mambo ya chama liliwemo swala la kutuchagulia rais, No way watanzania wamepaza sauti na maombi yao yamepata majibu....
 
Neno gani tena kamanda tumeishavuta bilioni 10 sasa hivi tuna mpango wa kumtoa kwenye list ya mafisadi.

Nasubiria kusikia CDM watakuja na nondo gani ili kumsafisha EL.
Maana yake sasa ndo washakichafua chama.
Ila kama EL atajiweka uchi hadharani na kuomba msamaha then itakuwa pigo kubwa sana kwa chama chake alichokikacha.
Otherwise CDM wana kazi kubwa sana ya kukemea Ufisadi la sivyo tutaweka conclusion sisi wenyewe wa huku nje kuwa siasa ni Ufisadi na hakuna mwanasiasa aliye msafi kwa sababu mmoja mchafu akiambatana na wengine wachafu then the rest walioambatana na yule mchafu wote wanakuwa wachafu.

PoliTRICKS is very 'kambasamu'
 
Ramli chonganishi hii! Kwani CCM waliposhindwa kuwavua magamba walitoa sababu gani? Kwanini CCM hawakumfikisha mahakamani mhusika kama walivyomfunga Mramba na mwenzake?
Ya CCM yamekwishinda , Wameshamkata. slaa na Mwembe Yanga na hii video hapa chini ndiyo habari ya mjini, itakuwaje?
[video]https://m.youtube.com/watch?v=SpRfcgqtCjM[/video]
 
Ukiijua siasa vizuri hupati shida kwenye mambo ya jukwaani maana kila mtu anaweza kusema na bado watu wakazungumza na kucheka
 
Slaa ni Katibu Mkuu. Ndiye mtendaji mkuu wa Chama au. La baadae anaweza kupewa ubunge wa kuteuliwa halafu.....
 
Sijui CCM itaponaje... maana itanyongwa kabisaaa.....yaani
 
Sio mbaya akihama, kuna baadhi ya watu watafaidika pia, na hata akishinda urais kupitia UKAWA basi kina Rostam wataendelea kula kuku kama kawa.
 
Hakuna shetani mbaya katika maslahi...nasisitiza Lowassa ni mali kwa UKAWA lakini wasimpe agombee urais (Slaa anatosha)
 
Nasubiria kusikia CDM watakuja na nondo gani ili kumsafisha EL.
Maana yake sasa ndo washakichafua chama.
Ila kama EL atajiweka uchi hadharani na kuomba msamaha then itakuwa pigo kubwa sana kwa chama chake alichokikacha.
Otherwise CDM wana kazi kubwa sana ya kukemea Ufisadi la sivyo tutaweka conclusion sisi wenyewe wa huku nje kuwa siasa ni Ufisadi na hakuna mwanasiasa aliye msafi kwa sababu mmoja mchafu akiambatana na wengine wachafu then the rest walioambatana na yule mchafu wote wanakuwa wachafu.

PoliTRICKS is very 'kambasamu'

Lowasa anaenda kusema kila kitu

Wait and see
 
Ni dhahiri sasa anguko la ccm live. Mwaka huu CHADEMA na UKAWA itapita bila Kupingwa majimbo mengi mno. Magufuli anakuwa m/kiti wa kwanza wa ccm asiyekuwa rais. Kiukweli JK alikuwa chaguo la Mungu.
 
Hali si shawri ndani ya Uongozi wa juu wa CHADEMA kutokana na mambo yanavyoendeshwa kwa sasa hasa kuhusiana na upingaji wake kuhusiana na suala la mgombea uraisi.Yuko mbioni kufanya maamuzi magumu muda wowote kuanzia sasa na atatimka na viongozi na wanachama kibao wa CHADEMA.Stay tuned.
 
Utapata picha tu, tulia, tegesha, acha makeke, atatoka mtoto copy right... chezea UKAWA...
 
Back
Top Bottom