issakwisa6810
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 309
- 84
Chadema wrote mbele nyuma mwiko tuwe na subira
Kwa hiyo unapingana na babu yenu SLAA aliyemtangaza pale Mwembe Yanga kuwa ni fisadi papa?Ufisadi wa Lowassa ni upi? sisi wenye akili timamu tunajua kilichofanyika...
Lizabon, msha mpoteza MUSSA ALLAN, acampo for na wengine. Wamehama na Mzee.....!!Tulia wewe. Hiyo picha ni halisi kabisa.
Nakumbuka vizuri Askofu Mkuu Zakaria kakobe aliandika walaka mzito juu ya kusambaratika kwa Chama changu cha Ccm, kuna kila dalili kwamba unabii umetimia ccm iko mahututi soon itakufa karibu Rais Lowasa tuendeleze safari ya matumaini. binafsi sitakufuata chadema lakini nitakupa kura yangu. maana tuliowengi tulikuonea huruma kwa njinsi ulivyo pokonywa haki yako ya kuchanguliwa.
Tusidhalau watumishi wa Mungu yuko wapi ngeleja ???
Tutawaambia dili zilikuwa za yule anayemaliza muda wake.Tunaifuta kwa kuwaambia watanzania dili za epa,richmond na escrow zilikuwa za nani.!!
Hapa CDM mmeniudhi na kura yangu mwisho ulikuwa mwaka 2010. Kama itakuwa ni kweli kuwa EL mnampa kugombea Urais basi Nyie hamkufikiria vyema. Na nitashawishika kuamini kweli FAM kapewa B10. Siamini macho yangu hata kidogo. Hasiraaaa......
Identity yenu ilikuwa ufisadi, mnapokwenda kumnadi huyu fisadi, mnakwenda na Identity ipi?Chadema wrote mbele nyuma mwiko tuwe na subira
Kama kweli CHADEMA kwisha kazi. Wamejipeleka kaburini huku wakiona na kutizama. Inatia huruma kwa Watanzania waliokuwa na matumaini kwa chama chao cha CHADEMA. Watakimbilia wapi??? Sitashangaa wakirudi kwa CCM ambao wameonyesha kuanza vita dhidi ya ufisadi kwa kumuengua Lowasa kwenye kugombea urais wa nchi.
Kama kweli CHADEMA kwisha kazi. Wamejipeleka kaburini huku wakiona na kutizama. Inatia huruma kwa Watanzania waliokuwa na matumaini kwa chama chao cha CHADEMA. Watakimbilia wapi??? Sitashangaa wakirudi kwa CCM ambao wameonyesha kuanza vita dhidi ya ufisadi kwa kumuengua Lowasa kwenye kugombea urais wa nchi.
Well said,jamaa angekuwa mchafu asingekuwa na ubavu wa kuhama,....kama kikwete aliona kumkata ndo solution ili asiweze kulipiza kisasi basi bado ana wakati mgumu
Rais anatoka CCM, tukutane Oktoba. Tusije tukakimbiana.kimbunga kimbunga naona Lumumba wananena kwa lugha.Chochea moto
Lizabon, msha mpoteza MUSSA ALLAN, acampo for na wengine. Wamehama na Mzee.....!!
Kweli Lowasa kapania ................. Hata ningekuwa mimi nisingekubali huu uhuni wa CCM!!