Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,416
Tehetehetehetehe. UKAWA bila ya CCM haina uwezoHata hivyo ww ni CCM hivyo acha kutufuatilia Kwan tunahitaji mageuzi ya kweli katika siasa ya nchi yetu. Tunaishukuru sana CCM kwa hapa ilipotufikisha bt tunahitaji kusonga mbele zaidi kwa kukaribisha siasa yenye fikra na changamoto mpya kwa ustawi na ustaarabu (civilization) wa taifa