Katika maisha yangu naamini katika muafaka.kama chama chetu hakitakubaliana mchakato wa katiba mpya ukabaki njia kuu nawahikikishia itatutesa sana uchaguzi ujao 2015! Wapinzani itakuwa agenda yao kutumaliza.take it from me!
Nakubaliana na wazo lako kwani CCM itawaambia wananchi hayo mabilioni waliyateketeza ya nini bila kuleta katiba mpya? CCM fikirieni mara mbili kwani hizo njama zenu zinaweza kuwaangusha kabisa badala ya kuwainua.
Na isitoshe msipoboresha daftari la wapiga kura kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa na vitongoji ndio crisis inayozungumzwa itaanzia hapo!