JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,966
nani hataki Katiba wanaoijadili au wanaoikimbia?
mkuu, wanaoijadili wanajadili nini? au wewe kwako ni kujadili tu bila kujali wanajadili nini?
nani hataki Katiba wanaoijadili au wanaoikimbia?
Wewe ni mnafiki mkubwa tu, huna lolote, watu 200 hawawezi kuyumbisha taifa.taifa hili halikuota kama uyoga, litalindwa kwa gharama yoyote madam hila za vibaraka wa.wazungu watanzania tumeshazing'amua
Ni baada ya kutofikia muafaka wa maridhiano ya katiba mpya kilichoitishwa na msajili wa vyama jaji Mutungi.
Source : Mtanzania
Wewe ni mnafiki mkubwa tu, huna lolote, watu 200 hawawezi kuyumbisha taifa.taifa hili halikuota kama uyoga, litalindwa kwa gharama yoyote madam hila za vibaraka wa.wazungu watanzania tumeshazing'amua
nani hataki Katiba wanaoijadili au wanaoikimbia?
machadema bana, yanang'ang'ania rasimu iwe ndio katiba yenyeweMaccm bana... yamebaka maoni ya wananchi
yasirudi tuu hayana umuhimu wowoteMsimamo ni mmoja! Hakuna kurudi hadi watakapokubali kujadili rasimu ya Tume ya Warioba!
Interahamwe...!!!
Nuru na Giza haviwezi kukaa kapomoja
machadema bana, yanang'ang'ania rasimu iwe ndio katiba yenyewe
intarahamwe ni wagogo,wanywa gongo,viroba na wachaga wanaotenga wenzao halafu wewe msukule unadandia treni kwa mbele hata huelewi linakoelekea. xxyyshs nsnsnsn weeJaribuni muone, mmezoea vya kunyonga, intarahamwe nyie.
mtatukana sana wanywa gongo nyie. acheni kumwagia watu tindikali,na kuwalisha sumuChama cha mafisadi ni janga kubwa kwa taifa hili, watatusumbua sana hawa ma escrow mpaka waje watoke madarakani
Unataka nn interahamwe mkubwa wewe!!! Umetumwa na wasura au Nyape??!
Rasimu ndo maoni ya watz wazalendo. Haki ya Mungu nchi hii ikiongozwa tena na interahamwe 2015 nitatoa uhai wangu