Kikao cha CCM, UKAWA chavunjika

Kikao cha CCM, UKAWA chavunjika

Sheriti moja tu na liko wazi, kujadili rasimu iliyosilishwa na Walioba, iliyobeba maoni yetu wananchi, kinyume na hapo hakuna kurudi bungeni, kweli ccm ni mashetani, wanashindwa kuheshimu roho ya nchi.

na msirudi tu kwani hata mkiwepo mna faida gani? Kazi ya kuwatukana waasisi wa taifa letu tu
 
CCM walijua UKAWA wanabip!
Mwaka huu watakoj.oa misumari hawa maccm maana wananchi wanazidi kuwatambua
 
CCM bwana, mwanzoni waliwabeza sana UKAWA. Sasa wanahaha!!!!! Wembe ni ule ule bila rasimu ya Warioba hakuna kurudi mjengoni!!!!
 
Magamba wanapitisha katiba ya chama cha mapinduzi na itaitwa katiba ya chama cha mapinduzi si ya tanzania!
 
Safi ukawa....hamna kurudi nyuma kwa hili watz tupo nanyi kwa lolote.
 
Ccm hawana dhamira ya kuwapatia wananchi Katiba mpya,tusitumie nguvu kubwa katika kujibisha nao,Bali tufsnye


Ccm hawana dhamira ya kuwapatia wanachi katiba mpya,tupeleke ujumbe mzito kwa wananchi kuwa maisha magumu tunayoishi Ni kwa sababu ya ccm,elimu nbovu Ni kwa ajili ya ccm,huduma mbovu za hospital Ni kwa ajili ya ccm,kurithishana madaraka watoto WA viongozi Ni kwa ajili ya ccm.
 
Hapa ni kama vile una jitanabaisha kuwa wewe sio Intarahamwe ukitoa muongozo kwa Ma Intarahamwe.


Hapa unajitanabaisha kuwa nawe ni Intarahamwe



My take.
Wewe ni wa kuhurumiwa na kupuuzwa kwa kuwa wewe mwenyewe hujijui.

hiki ki western songoro ni kijinga sana,,, hana akili anawza kwa kutimia serikali ya makalio
 
Back
Top Bottom