Kikao cha CCM, UKAWA chavunjika

Kikao cha CCM, UKAWA chavunjika

Hakuna katiba hapa..JK amezoea kuleta mzaha sasa safari hii ataona nyota
 
Naunga mkono UKAWA kutorudi Bungeni mpaka pale tu, rasimu ya warioba kama ilivyopendekezwa na wananchi itarudishwa kwenye reli. Kinyume na hapo wasirudi ili Ukawa wajiongezee mtaji zaidi wa uchaguzi wa 2015 maana watakuwa wameonesha hawana tamaa na posho hivyo watatufaa sana kuendesha nchi.
 
Hakuna katiba hapa..JK amezoea kuleta mzaha sasa safari hii ataona nyota
ni kweli mkuu, jk amejiharibia sana kwa kuingiza maslai ya chama chake kwenye katiba ya wananchi. UKAWA acheni maccm na makuwadi wao waendeleze uchakachuaji wa maoni ya wananchi na kodi za wananchi huko dodoma!
 
Naunga mkono UKAWA kutorudi Bungeni mpaka pale tu, rasimu ya warioba kama ilivyopendekezwa na wananchi itarudishwa kwenye reli. Kinyume na hapo wasirudi ili Ukawa wajiongezee mtaji zaidi wa uchaguzi wa 2015 maana watakuwa wameonesha hawana tamaa na posho hivyo watatufaa sana kuendesha nchi.
ni kweli mkuu, Ukawa wakionyesha msimamo katika hili tunaweza kuwaamini mwakani, vinginevyo watajipotezea kura nyingi wakiungana na wachakachuaji!
 
teh teh, mkuu maccm yamekwama! Ukawa wako upande sahihi wa wananchi, katiba ni kwa ajili ya watanzania wote wenye vyama na wasio navyo, eti ccm wanang'ang'ania serikali 2 kisa ni sera ya chama chao, hivi katiba ni ya chama? Watanzania tuamke toka usingizini mara moja!

Nakubaliana na wewe japo kwa uchungu mkubwa maana chama chetu hakitaki kabisa tuseme ukweli. Nakubaliana na wewe kwa uchungu mkubwa sana.
 
Nape alisema watapata katiba bila hata ya UKAWA.
 
Sema rasimu iliyobeba Maoni ya baadhi ya Wananchi na siyo Wananchi wote. Kama wewe ulihojiwa mimi sikupata nafasi hiyo.

Sasa mtu mjinga kama wewe ungehojiwa si ujinga tu ungejaa kwenye katiba, pia ungewachelewesha wajumbe kwani ungeongea wazimu mtupu.
 
Naunga mkono UKAWA kutorudi Bungeni mpaka pale tu, rasimu ya warioba kama ilivyopendekezwa na wananchi itarudishwa kwenye reli. Kinyume na hapo wasirudi ili Ukawa wajiongezee mtaji zaidi wa uchaguzi wa 2015 maana watakuwa wameonesha hawana tamaa na posho hivyo watatufaa sana kuendesha nchi.

then bunge linapoteza hela kujadili nini kama rasimu inatakiwa ipite jinsi ilivo?
 
Nape alisema watapata katiba bila hata ya UKAWA.

Jk sijui alimtoa wapi huyo mtoto asiyemjua hata baba yake. Hebu watoto halali wa Mzee Moses Nnauye wajitokeze hadharani tuone kama wanafanana na Nape akili.
 
Ccm wanawabembeleza ukawa kwa vile wametambulishwa kuwa ktb haiwezi patikana bila ukawa kuwepo. Na shida kubwa ni Zanzibar ndo walioshikilia kura ya turufu.

Ebu tumia akili kidogo acha uvivu wa kufikiri katiba haina chama acha kila maslahi izingatiwe kwa faida ya kila mtanzania maana uccm na ukawa havitakuwa na maana kuwepo mle.
 
Huwezi kuwaweka juani wananchi wakatoa maoni yao huku wakiacha shughuli halafu maccm mafisadi machache yakatupilia mbali maoni yao!
 
then bunge linapoteza hela kujadili nini kama rasimu inatakiwa ipite jinsi ilivo?

Bunge halina mamlaka ya kutupa maoni ya wananchi bali kuyaboresha. Kama msimamo wa CCM ndio huo wanalazimisha na kutengeneza rasimu mpya, kulikuwa na haja gani kuunda Tume ya kukusanya maoni ya Watz kuhusu Katiba mpya?
 
Nitaendelea kusema ukweli daima uongo kwangu ni mwiko. Mpaka tunafika kwenye rasimu ya pili Jk alikuwa anaunga mkono serikali 3 sasa mafisadi machache yakaanza kumtisha sasa swali langu kwa JK je huo ulinzi tulio kupa hauna nguvu mafisadi ndo wananguvu ndani ya chama?
 
Ili kumaliza ubishi itangazwe tu kuww BMLK wameshindwa kupata mwafaka, wairudishe Rasimu kwa Wananchi tuipigie kura kama ilivyo.
 
Back
Top Bottom