hugochavez
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 1,907
- 1,009
UKAWA na MISIMAMO yao ya KIKONDOOCcm na misimamo yao ya kimbuzi
UKAWA na MISIMAMO yao ya KIKONDOOCcm na misimamo yao ya kimbuzi
mtatukana sana wanywa gongo nyie. acheni kumwagia watu tindikali,na kuwalisha sumu
Wanawabembelezea nini hao UKAWA?
ulikimbia umande. rudi shule kwanza
Ccm na misimamo yao ya kimbuzi
Wewe thatha tumia hata akili ya kuzaliwa kujiuliza kwanini ukawa walitoka au hujui
wanywa gongo, viroba na bhange juu
intarahamwe ni wagogo,wanywa gongo,viroba na wachaga wanaotenga wenzao halafu wewe msukule unadandia treni kwa mbele hata huelewi linakoelekea. xxyyshs nsnsnsn wee
ulikimbia umande. rudi shule kwanza
Hahahaa wewe nilipo unahitaji miaka 100 kinifikia!
wala hatutukani huo ndiyo ukwelimtatukana sana wanywa gongo nyie. acheni kumwagia watu tindikali,na kuwalisha sumu
Wewe ni mnafiki mkubwa tu, huna lolote, watu 200 hawawezi kuyumbisha taifa.taifa hili halikuota kama uyoga, litalindwa kwa gharama yoyote madam hila za vibaraka wa.wazungu watanzania tumeshazing'amua
nani hataki Katiba wanaoijadili au wanaoikimbia?
Umechanganyikiwa wewe na maccm wenzako,itabidi tuwapeleke kwa mchungaji Mwasapile mkapate kikombeHata wakiacha poa tu, tena ikibidi wasusie kabisa na uchaguzi mkuu mwakani ili wajifute kwenye ramani ya siasa.
Wamechanganyikiwa.