Kikao cha CCM, UKAWA chavunjika

Kikao cha CCM, UKAWA chavunjika

Wewe ni mnafiki mkubwa tu, huna lolote, watu 200 hawawezi kuyumbisha taifa.taifa hili halikuota kama uyoga, litalindwa kwa gharama yoyote madam hila za vibaraka wa.wazungu watanzania tumeshazing'amua

Kibaraka wa wazungu ni yule anagawa rasilimali zetu kama njugu ardhi,dhahabu,twiga wetu.
 
Kama imeshindikana watuletee kura ya maoni tupige kuamua hatima ya nchi yetu,tuone kati ya serikali 3 za wananchi na 2 za maccm zipi zitapita!
 
Ndugu zangu, ccm hawakujipanga kwenye swala la katiba, kama wanadhani serikali mbili zinakubalika warudishe huku mtaani tupige kura 3 au 2 basi
 
Huwezi kuwaweka juani wananchi wakatoa maoni yao huku wakiacha shughuli halafu maccm mafisadi machache yakatupilia mbali maoni yao!
ni kweli mkuu, sio haki hata kidogo, hakukuwa na haja ya kuunda tume kama maccm yanataka kutupilia mbali maoni ya wananchi.
 
Nitaendelea kusema ukweli daima uongo kwangu ni mwiko. Mpaka tunafika kwenye rasimu ya pili Jk alikuwa anaunga mkono serikali 3 sasa mafisadi machache yakaanza kumtisha sasa swali langu kwa JK je huo ulinzi tulio kupa hauna nguvu mafisadi ndo wananguvu ndani ya chama?
haa haa, chezea mafisadi wewe.?
 
ni kweli mkuu, Ukawa wakionyesha msimamo katika hili tunaweza kuwaamini mwakani, vinginevyo watajipotezea kura nyingi wakiungana na wachakachuaji!

Nakubali mia kwa mia. Hii ni chance ya kisiasa kwa ukawa kuitumia vizuri kutupeleka kwenye ukombozi.
 
Safari hii usalama wa taifa wameshindwa kuvuruga msimamo wa ukawa sasa ni mwisho wa ccm.
 
Nitaendelea kusema ukweli daima uongo kwangu ni mwiko. Mpaka tunafika kwenye rasimu ya pili Jk alikuwa anaunga mkono serikali 3 sasa mafisadi machache yakaanza kumtisha sasa swali langu kwa JK je huo ulinzi tulio kupa hauna nguvu mafisadi ndo wananguvu ndani ya chama?

kaka tatizo Mh.kikwete hajiamini.na wala hawez kujiamulia maamuz yke na hii yote inatokana na ushindi bandia wa urais aliupora kibabe chini ya mawakala wake wa ccm na bila kuridhiwa na wananchii
 
Back
Top Bottom