Kikao cha CCM ikulu ya Dodoma muda huu kupitia mapendekezo ya PAC

Kikao cha CCM ikulu ya Dodoma muda huu kupitia mapendekezo ya PAC

ndugu yangu usihangaike, huyu yeriko ni malaya wa kisiasa ni lazima afanye hivyo ama sivyo hata lipwa dau lake na hao mabwana zake

Hili ndio tatizo lenu wenye akili ndogo mnaowaza pombe na ngono hebu sema hizi pumba zenu zinawaokoa vipi bwana zenu wanaohangaika kuzima mjadala?
 
Dogo usipende kutafuta umaarufu kwa kutaja majina makubwa ya watu!!! Weka ushahidi wapi Pinda kaomba kusaidiwa.....

Kumbuka: Wote tuko Dodoma na hatuyaoni hayo unayo ropoka..
Sasa utamfanya nini kwenda huko bweha we
 
Jesca naomba kwa mda mchache tu umuachie "tumbili" apitie makalablasha kwa ajili ya kesho kulitumikia vyema taifa...muache alisaidie taifa kikamilifu...
 
Ibara ya 52(1) ya Katiba ya JMT imempa Pinda Madaraka ya Kudhibiti, kusimamia na kutekeleza shughuli za kila siku za Serikali kwa niaba ya Rais.

Swali ni je, Pinda alikuwa wapi siku zote asidhibiti ukwapuaji wa mabilioni ya Tegeta Escrow account wakati mgogoro wa bei baina ya IPTL na Tanesco ulikuwa haujaisha?

Pinda kafanya uzembe akiwa mnufaikaji wa ukwapuaji huo wa fedha? Mbivu na mbichi kujulikaja leo
 
Nimependa maelezo yako ila hapo mwishoni ndo umekua mnafiki.. huyo wakili aliyeleta hiyo barua na ndege ya kukodi kwanini usiseme zamani alikua Nccr na sasa yuko Chadema(marando)? Jaman mbona unafiki unawazidi mnashindwa kuinena kweli tupu?

Mmh sikujua kama Marando siku hizi ana permanent residency in Sumbawanga...teh..teh..teh
 
...Barua hiyo imeletwa kwa ndege ya kukodi,Wakili aliyefungua kesi anatoka kijiji kimoja na Pm, alikuwa NCCR Mageuzi zamani sasa yupo CCM.
uaminifukazi said:
Huyo wakili aliyeleta hiyo barua na ndege ya kukodi kwanini usiseme zamani alikua nccr na sasa yuko chadema(marando)?

Adharusi likes this.
Mafisadi na misukule yao wanahangaika kweli kweli lakii safari hii hawachomoki n'go! Masikini uaminifukazi na Adharusi!
 
Last edited by a moderator:
Safari ya Pinda kisiasa inakoma rasmi leo, amehangaika sana, Kaomba asaidiwe na wahisani wa chama na wengine hata simu yake hawapokei,

Kauli yako ina maana nzito kaka Yericko.
Kwa mazoea ya siasa zetu za bongo,wapangaji wa magogoni hupendelea kuachia nyumba kwa "watu wao" ili kulindana na kuendeleza "legacy".
Kama huyu jamaa alikuwa mteule wa mpangaji aliyepo,ina maana hili ni pigo la kichwani kwa nyoka,au?
 
Ndani ya ccm wengi ni ccm maslahi na sio ccm imani kamwe! Mpaka ccm inadiriki kufanya vikao usiku vya kuokoa wezi, kweli kazi ipo nchi hii..
 
Wakuu,

CCM wamekutana kwa dharura muda huu katika ukumbi wa ikulu ya Dodoma.

Agenda kuu ni kupitia ripoti nzima na MAPENDEKEZO ya PAC, Wanataka kupitia mapendekezo ya PAC mapema na kulekezana namna ya kuokoa, pia ripoti waliyogawa kwa wajumbe haina vielelezo kwa ajili ya rejea. Mbali na bank statements ya Rugemarila, imefichwa ya Pap.

Wamewaita wajumbe wote wa CCM waliopo PAC ili watolee ufafanuzi wa mapendekezo hayo.

Wajumbe hao ni:

Zainab vullu, Ali Mohamed kessy, Jabir marombwa, Faida Bakari, Kangi Lugola, Deo filikunjombe.

Katika hatua nyingine Katibu wa bunge Mr Kashilila amegoma kupokea barua ya Mahakama.

Barua hiyo imeletwa kwa ndege ya kukodi,Wakili aliyefungua kesi anatoka kijiji kimoja na Pm, alikuwa NCCR Mageuzi zamani sasa yupo CCM.

Asante kwa taarifa.
 
Ivi unaanzaje kutetea wezi ivi iki chama ni cha wezi?

Hivi kwani kuna mtu kati ya wahusika ndiye Tanzania kwamba akiwajibishwa Tanzania imekwisha?? Na kwanini mara ukawa wamekaa kujadili na mara ccm na wote kwa nia ovu?
 
Hili ndio tatizo lenu wenye akili ndogo mnaowaza pombe na ngono hebu sema hizi pumba zenu zinawaokoa vipi bwana zenu wanaohangaika kuzima mjadala?
siwezi nikaamini wewe ni lusungo ninae kujua lazima kuna kitu kikubwa sana hawa makada wenzio watakuwa wamekuzima au wamekataa kukununulia spear za lile Benz lako
 
Last edited by a moderator:
Kashfa ya Escrow ni vita kati ya "Haki na Uasi".
Kwa kanuni
ni,lazima ufisadi ushindwe kama linavyoshindwa Giza na Nuru.
 
Ha ha we sikunyingine unakuaga na habari za kweli maana mambo mengi ya ESCROW usemayo hapa ni halisi

Jamaa anahangaika Sana ila hofu kubwa ni endapo file la RAIA na.1 likaingizwa kwenye mjadala hiyo ndo shubiri inayoogopwa.

Mkuu lusungo hii ki kwetu tunaita sambua maduku kila kitu kinapinduliwa upside down.Kweli mkuu Kimbunga anasema ESCROW ni kokoro,sijui nani atabaki salama?
 
Last edited by a moderator:
Kama wabunge wote wa CCM watageuka leo na kuanza kuwatetea mafisadi itakuwa ni pigo kubwa sana kwa watanzania.
 
UPDATES

Wabunge Wa ccm wameambiwa kuwa imara na kushikamana Kwa maslahi ya Chama, AG na Muhongo walikuwa wanawapa somo, January Makamba amemshutumu waziri mkuu kwa kuzembea,

Wamekubaliana kwa kauli moja kuwakabili UKAWA.
 
UPDATES

Wabunge Wa ccm wameambiwa kuwa imara na kushikamana Kwa maslahi ya Chama, AG na Muhongo walikuwa wanawapa somo, January Makamba amemshutumubada waziri mkuu kwa kuzembea,

Wamekubaliana kwa kauli moja kuwakabili UKAWA.

Wajinga Sana magamba badala ya kushikamana kwa maslahi ya taifa na wananchi Wao wanajali maslahi ya Chama Na majizi. Ngoja nataka nione mbunge atakaetetea ufisadi Leo. Ndio kila mtu atajua true colours ya mbunge wake.
 
Back
Top Bottom