PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,182
Wanatapa tapa sana lakini mioyo wa Watanzania inasubiri kesho ili ijulikane mbivu mbivu.
mkuu.hupo?
Wanatapa tapa sana lakini mioyo wa Watanzania inasubiri kesho ili ijulikane mbivu mbivu.
Wakuu,
Ccm wamekutana kwa dharura muda huu katika ukumbi wa ikulu ya Dodoma,
Agenda kuu ni kupitia ripoti nzima na MAPENDEKEZO ya PAC, Wanataka kupitia mapendekezo ya PAC mapema na kulekezana namna ya kuokoa, pia ripoti waliyogawa kwa wajumbe haina vielelezo kwa ajili ya rejea. Mbali na bank statements ya Rugemarila, imefichwa ya Pap.
Wamewaita wajumbe wote wa CCM waliopo PAC ili watolee ufafanuzi wa mapendekezo hayo.
Wajumbe hao ni:
Zainab vullu, Ali Mohamed kessy, Jabir marombwa, Faida Bakari, Kangi Lugola, Deo filikunjombe,
Katika hatua nyingine Katibu wa bunge Mr Kashilila amegoma kupokea barua ya Mahakama,
Barua hiyo imeletwa kwa ndege ya kukodi,Wakili aliyefungua kesi anatoka kijiji kimoja na Pm, alikuwa Nccr zamani sasa yupo Ccm
Ivi unaanzaje kutetea wezi ivi iki chama ni cha wezi?
Eee Mungu wa yakobo na isaka tenda haki. Sasa chama kinawaitaje pac? kwani pac ni ccm?naje pac inawajibika kwa ccm hafi waitwe na hicho chama? Naje kweli pac zito wamekubali kuingia kwa hicho kikao cha pukoo wa panya? Nani wakunijibia maswali haya. Ee Mungu tuokoe cc watz
Wakuu,
Ccm wamekutana kwa dharura muda huu katika ukumbi wa ikulu ya Dodoma,
Agenda kuu ni kupitia ripoti nzima na MAPENDEKEZO ya PAC, Wanataka kupitia mapendekezo ya PAC mapema na kulekezana namna ya kuokoa,
pia Ripoti waliyogawa kwa wajumbe haina vielelezo kwa ajili ya rejea. Mbali na bank statements ya Rugemarila, imefichwa ya Pap.
Wamewaita wajumbe wote wa CCM waliopo PAC ili watolee ufafanuzi wa mapendekezo hayo.
Wajumbe hao ni:
Zainab vullu, Ali Mohamed kessy, Jabir marombwa, Faida Bakari, Kangi Lugola, Deo filikunjombe,
Barua hiyo imeletwa kwa ndege ya kukodi,Wakili aliyefungua kesi anatoka kijiji kimoja na Pm, alikuwa Nccr zamani sasa yupo Ccm
Wakuu,
Ccm wamekutana kwa dharura muda huu katika ukumbi wa ikulu ya Dodoma,
Agenda kuu ni kupitia ripoti nzima na MAPENDEKEZO ya PAC, Wanataka kupitia mapendekezo ya PAC mapema na kulekezana namna ya kuokoa, pia ripoti waliyogawa kwa wajumbe haina vielelezo kwa ajili ya rejea. Mbali na bank statements ya Rugemarila, imefichwa ya Pap.
Wamewaita wajumbe wote wa CCM waliopo PAC ili watolee ufafanuzi wa mapendekezo hayo.
Wajumbe hao ni:
Zainab vullu, Ali Mohamed kessy, Jabir marombwa, Faida Bakari, Kangi Lugola, Deo filikunjombe,
Katika hatua nyingine Katibu wa bunge Mr Kashilila amegoma kupokea barua ya Mahakama,
Barua hiyo imeletwa kwa ndege ya kukodi,Wakili aliyefungua kesi anatoka kijiji kimoja na Pm, alikuwa Nccr zamani sasa yupo Ccm
Huyu Mungu unaemlilia alishakwambia'jisaidie na mimi nitakusaidia',ni vizuri ukawa wa kwanza kujiandikisha katika daftari la wakaazi na ukaishawishi jamii inayokuzunguka nayo ikafanya hivyo ili uweze kupata haki ya kuweka Serikali safi madarakani lakini kulia tu bila ya kuchukua hatua ni kazi bure.
Kesho ni public holiday, mimi na tv, tv na mimi
eeehhhh..!!
Mbombooo ngafuu.!
Nilale.
Nimependa maelezo yako ila hapo mwishoni ndo umekua mnafiki.. huyo wakili aliyeleta hiyo barua na ndege ya kukodi kwanini usiseme zamani alikua Nccr na sasa yuko Chadema(marando)? Jaman mbona unafiki unawazidi mnashindwa kuinena kweli tupu?
Vijana wa bavicha acheni woga!!! Kesho sio mbali, ripoti itasomwa.....
Hakuna andiko la namna hiyo po pote kwenye Biblia labda kwenye vitabu vingine. Msaada wetu unatoka juu kwake Mungu aliyeumba mbingu na nchi.
Wataokoa nini na hali ishakuwa mbaya zaidi wanavyofikiria.
Hiyo Bank statement iliyotolewa ina maana haitakuwa sehemu ya report itakayowasilishwa kesho Bungeni au una maanisha imetolewa kwa muda huu tu kupunguza pressure ya wezi wakubwa waliojificha humo?
Zitto yuko wapi, why hao tu?
Katika hatua nyingine Katibu wa bunge Mr Kashilila amegoma kupokea barua ya Mahakama,
Ni nani huyu wakili, kwa jina ni mtanzania kweli huyu?
Plz Yericko Nyerere naomba ufafanuzi wa maswali hayo juu.
Kesho hakutakua na umeme.....
chaji SIMU vizuri na stay tuned!!!!