Kikao cha CCM ikulu ya Dodoma muda huu kupitia mapendekezo ya PAC

Kikao cha CCM ikulu ya Dodoma muda huu kupitia mapendekezo ya PAC

Haya ni maneno ya watu waliokata tamaa /watu dhaifu na waliochoka kufikiri ,yanayoendelea katika nchi hii mambo yalio na uhalisia wewe unaleta mambo ya kiroho wapi na wapi?.Yaani wewe uache kutimiza wajibu wako halafu umtegemee Mungu aje akutimizie wajibu wako?.

Jitahidi kufikiri nje ya vile unavyoambiwa au kuaminishwa na viongozi wa kiimani.

Acha ukafiri wako
 
Acha ukafiri wako

Si unaona umeshindwa kujibu hoja unatukana!!,nnarudia tena kukwambia kutukana badala ya kujibu hoja ni matokeo ya kushindwa kufikiri na kukata tamaa .

Nnakushauri mkuu ujifunze kupitia wenzio.
 
Ikulu imegeuka ya walanguz sasa…!!!
 
wangemkabidhi huyo tarishi wa mafisadi wananchi wamcharaze vibao. hata aibu hawana kujaribu kuzuia chombo pekee kilichosalia kama tegemeo la wananchi..aah pamoja na carg na jwtz. bladfuu mafisadi.
 
Pinda anahangaika sana, kwanini asiachie ngazi kama Lowassa kupisha aibu ya Serikali yake? Kama kiranja mkuu wa shughuli za serikali alishindwa vipi kujua kuwa zile zilikuwa fedha za walipa kodi wa Tanzania? anahangaika sana kutumia mahakama na mbinu chafu za kuzima mijadala kwa kuhofia nini? 8 B alizomegewa kwaajili ya Kampeni ya urais hakujua?
 
Safari ya Pinda kisiasa inakoma rasmi leo, amehangaika sana, Kaomba asaidiwe na wahisani wa chama na wengine hata simu yake hawapokei,

Ha ha we sikunyingine unakuaga na habari za kweli maana mambo mengi ya ESCROW usemayo hapa ni halisi

Jamaa anahangaika Sana ila hofu kubwa ni endapo file la RAIA na.1 likaingizwa kwenye mjadala hiyo ndo shubiri inayoogopwa.
 
Huyu Mungu unaemlilia alishakwambia'jisaidie na mimi nitakusaidia',ni vizuri ukawa wa kwanza kujiandikisha katika daftari la wakaazi na ukaishawishi jamii inayokuzunguka nayo ikafanya hivyo ili uweze kupata haki ya kuweka Serikali safi madarakani lakini kulia tu bila ya kuchukua hatua ni kazi bure.

Mkuu Ciril heshima mbele. Umetoa ushauri mzuri ila hapo kwenye fungua na funga semi naomba upaondoe kwa maana sikumbuki sehemu iliyoandikwa Mungu anamwambia mwanadamu hayo. Unless unipe reference ili na mm nijifunze kitu kipya leo.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha we sikunyingine unakuaga na habari za kweli maana mambo mengi ya ESCROW usemayo hapa ni halisi

Jamaa anahangaika Sana ila hofu kubwa ni endapo file la RAIA na.1 likaingizwa kwenye mjadala hiyo ndo shubiri inayoogopwa.

Raia na1 ndio anamalizia ungw e yake sidhan kama anahofia kuchafuka,katiba nayo inamlind kutokushitakiw au nimekosea mkuu?.
 
Inawezekana kbs sikumbuki msitari mkuu ,lakini maneno kama hayo yanajenga pia.Wapo watu wanasubiri miujiza katika maisha yao mpaka wanaota mvi wanakufa masikini .
 
Last edited by a moderator:
Ha ha we sikunyingine unakuaga na habari za kweli maana mambo mengi ya ESCROW usemayo hapa ni halisi

Jamaa anahangaika Sana ila hofu kubwa ni endapo file la RAIA na.1 likaingizwa kwenye mjadala hiyo ndo shubiri inayoogopwa.

Asante Mungu leo umekiri kwa kinywa chako mwenyewe
 
Raia na1 ndio anamalizia ungw e yake sidhan kama anahofia kuchafuka,katiba nayo inamlind kutokushitakiw au nimekosea mkuu?.

Tatizo sio kuachia ngazi tatizo kuu ni kwamba suala hili linaweza pelekea chama chetu pendwa CCM kufutika kabisa kwenye daftari la msajili.
 
Back
Top Bottom