Kikao cha CCM ikulu ya Dodoma muda huu kupitia mapendekezo ya PAC

Kikao cha CCM ikulu ya Dodoma muda huu kupitia mapendekezo ya PAC

Wakuu,

CCM wamekutana kwa dharura muda huu katika ukumbi wa ikulu ya Dodoma.

Agenda kuu ni kupitia ripoti nzima na MAPENDEKEZO ya PAC, Wanataka kupitia mapendekezo ya PAC mapema na kulekezana namna ya kuokoa, pia ripoti waliyogawa kwa wajumbe haina vielelezo kwa ajili ya rejea. Mbali na bank statements ya Rugemarila, imefichwa ya Pap.

Wamewaita wajumbe wote wa CCM waliopo PAC ili watolee ufafanuzi wa mapendekezo hayo.

Wajumbe hao ni:

Zainab vullu, Ali Mohamed kessy, Jabir marombwa, Faida Bakari, Kangi Lugola, Deo filikunjombe.

Katika hatua nyingine Katibu wa bunge Mr Kashilila amegoma kupokea barua ya Mahakama.

Barua hiyo imeletwa kwa ndege ya kukodi,Wakili aliyefungua kesi anatoka kijiji kimoja na Pm, alikuwa NCCR Mageuzi zamani sasa yupo CCM.

UPDATES
Mwelekeo ni kuokoa chama na serikali, wametoka dk hii kikao kimeisha, wajumbe Wa pac walioitwa Wali escape (walitia ngumu, walifika na kutoka)

Wabunge Wa ccm wameambiwa kuwa imara na kushikamana Kwa maslahi ya Chama, AG na Muhongo walikuwa wanawapa somo, January Makamba amemshutumu waziri mkuu kwa kuzembea,

Wamekubaliana kwa kauli moja kuwakabili UKAWA.

Yeriko Leo huku tunakutegemea kwa up dts zote kwetu wametukatia Umeme mapemaa.
 
hivi ni nani amelipa nauli ya ndege ya kukodi ili kupeleka barua tu ?
 
Ningempata Taliban mmoja ningemuomba avae 'ule uzi wao' aende ktk hicho kikao chao ili awapeleke wooote 'jehenam'
 
Yeriko hongera Mku ila tunamuomba mods asikublock kuingia humu ndani, si unajua tena haya majambazi yalivyo na 'mkono' mrefu mkuu? Hadi mtoto wa mkulima kaingia 'chaka'!
 
Agenda kuu ni kupitia ripoti nzima na MAPENDEKEZO ya PAC, Wanataka kupitia mapendekezo ya PAC mapema na kulekezana namna ya kuokoa, pia ripoti waliyogawa kwa wajumbe haina vielelezo kwa ajili ya rejea. Mbali na bank statements ya Rugemarila, imefichwa ya Pap.
Pamoja na hizo pesa zote alizotawanya yeye chake ilikuwa ni 20% tu na yeye inaelekea wa mgao wake ilikuwa ni kwa 'wadogo', tukiona statements ya PAP huenda ikawa ni pesa za kujengea mahospitali na sio kununulia dawa tena!
Sijui hizi ndizo 'baraka' tunazomwomba Mungu kwenye wimbo wetu wa taifa!
 
Back
Top Bottom