Kikao cha CCM ikulu ya Dodoma muda huu kupitia mapendekezo ya PAC

Nimependa maelezo yako ila hapo mwishoni ndo umekua mnafiki.. huyo wakili aliyeleta hiyo barua na ndege ya kukodi kwanini usiseme zamani alikua Nccr na sasa yuko Chadema(marando)? Jaman mbona unafiki unawazidi mnashindwa kuinena kweli tupu?

Marando katoka wapi?inaelekea umelishwa upepo kwa kuambiwa kesi imefunguliwa na UKAWA kupitia Marando!Pole,upepo ni upepo, usikubali kulishwa upepo utaishia ku.ja.mba tu humu!
 
Nimependa maelezo yako ila hapo mwishoni ndo umekua mnafiki.. huyo wakili aliyeleta hiyo barua na ndege ya kukodi kwanini usiseme zamani alikua Nccr na sasa yuko Chadema(marando)? Jaman mbona unafiki unawazidi mnashindwa kuinena kweli tupu?

Kwani Mabele Marando ni mtu wa Rukwa?
 
Nimependa maelezo yako ila hapo mwishoni ndo umekua mnafiki.. huyo wakili aliyeleta hiyo barua na ndege ya kukodi kwanini usiseme zamani alikua Nccr na sasa yuko Chadema(marando)? Jaman mbona unafiki unawazidi mnashindwa kuinena kweli tupu?

Wakili aliyefungua case hii wala si Marando kama uliangalia ITV habari bila shaka ulimuona wakili aliyefungua case!

Report hii isiposomwa Mimi nitamlaani Pinda maana ni yeye tangu mwanzo aliandaa mazingira ya Mahakama kuingilia kazi za bunge!
 
Sikujua Kama pinda amepinda kiasi hiki.mungu saidia hiyo kesho watanzania tusije kua disappointed.
 
Wakili aliyefungua case hii wala si Marando kama uliangalia ITV habari bila shaka ulimuona wakili aliyefungua case!

Report hii isiposomwa Mimi nitamlaani Pinda maana ni yeye tangu mwanzo aliandaa mazingira ya Bunge kuingilia kazi za bunge!

Hizo akili za inzi usihangaike nazo mkuu tuelekeze macho na masikio kwa dubu wanaomaliza watu wetu ....

we MTU hela za kuhonga watu 100 kila MTU milioni unatoa wapi? halafu unafanya hayo watu wako wanakufa bila dawa kweli??

kwakweli hili swala limenikinaisha Sana wapigwe tu mbwa mwitu hao....
 
Safari ya Pinda kisiasa inakoma rasmi leo, amehangaika sana, Kaomba asaidiwe na wahisani wa chama na wengine hata simu yake hawapokei,

Dogo usipende kutafuta umaarufu kwa kutaja majina makubwa ya watu!!! Weka ushahidi wapi Pinda kaomba kusaidiwa.....

Kumbuka: Wote tuko Dodoma na hatuyaoni hayo unayo ropoka..
 
Tatizo sio kuachia ngazi tatizo kuu ni kwamba suala hili linaweza pelekea chama chetu pendwa CCM kufutika kabisa kwenye daftari la msajili.

Mkuu asante kwa kusema ukweli ,inawezekana chama chenu ni kizuri sana sema wachezaji wa siku izi wameivunja ile miiko ya kucheza mpira.Wanacheza rafu sana na wacheza rafu sana wanalindana kweli kweli.Tunaomba wachache mliobaki ndani ya chama chenu pendwa mtusaidie sisi tusiokuwa na vyama kuwaambia wachezaji wenu waache rafu sababu wanapocheza rafu nyasi(wenye innji) mnatuumiza sana .

Asante tena kwa kuwa mkweli mkuu wangu.
 
Dogo usipende kutafuta umaarufu kwa kutaja majina makubwa ya watu!!! Weka ushahidi wapi Pinda kaomba kusaidiwa.....

Kumbuka: Wote tuko Dodoma na hatuyaoni hayo unayo ropoka..

Majina makubwa ya wezi!
Kwi kwi...............
Unachekesha sana unapotumia muda wako kutaka kutetea wezi.
 
Dogo usipende kutafuta umaarufu kwa kutaja majina makubwa ya watu!!! Weka ushahidi wapi Pinda kaomba kusaidiwa.....

Kumbuka: Wote tuko Dodoma na hatuyaoni hayo unayo ropoka..

Sio kila kitu huwa kinazungumzwa katika kadamnasi.
 
Safari ya Pinda kisiasa inakoma rasmi leo, amehangaika sana, Kaomba asaidiwe na wahisani wa chama na wengine hata simu yake hawapokei,

Yericko, mbona kuna taarifa kwamba Singasinga anawasili Dodoma kesho asubuhi (kwa ndege ya kukodi) na atakabidhi zuio la mahakama kwa ofisi ya speaker baada ya kipindi cha maswali, asubuhi. Baada ya hapo hoja inafungwa! Kuna ukweli wowote kwenye hili?
 
Dogo usipende kutafuta umaarufu kwa kutaja majina makubwa ya watu!!! Weka ushahidi wapi Pinda kaomba kusaidiwa.....

Kumbuka: Wote tuko Dodoma na hatuyaoni hayo unayo ropoka..

Tulia comrade harakati zote za kuzuia ripoti isiingie bungeni anafanya nani na kwanini? unaweza ukaishi Nyumba moja usijue kinachoendelea kulingana na status yako...

inawezekana status yako ni Kama tambara la deki unaishia mlangoni tu
 
Yericko, mbona kuna taarifa kwamba Singasinga anawasili Dodoma kesho asubuhi (kwa ndege ya kukodi) na atakabidhi zuio la mahakama kwa ofisi ya speaker baada ya kipindi cha maswali, asubuhi. Baada ya hapo hoja inafungwa! Kuna ukweli wowote kwenye hili?

Mahakama haina uwezo Wa kulizuia bunge kufanya shughuli zake....
 
There is no need to panic!! MUNGU yupo kwa ajiri ya haki sio uovu!!wanacho fanya ni kuziba jua kwa ungo,kuna kitu mungu anakwenda kufanya ktk nchi hii, mungu sio dhalimu hata aendelee kuachia uonevu uendelee hivi yaani wengine wawatese wengine wakati muumba ni mmoja!! Hakuna kitu kama hicho kwa mujibu wa imani yangu!! Wengine wafe kwa kukosa huduma hospitali halafu wengine waishi watakavyo! Nawaambia wa tanzania mnaoamini mungu na hata msioamini mungu,kwamba hawa watu mwisho wao umefika kwanza hawataelewana kabisa wao kwa wao,pili kila njama zao zitashindwa watahonga lakini kuna watu mungu atawapa ujasiri wa simba,tusipanic lakini tusikubali kuwa wapole tusikubali woga,MUNGU pamoja nasi!! shetani pamoja nao!!
 
Dogo usipende kutafuta umaarufu kwa kutaja majina makubwa ya watu!!! Weka ushahidi wapi Pinda kaomba kusaidiwa.....

Kumbuka: Wote tuko Dodoma na hatuyaoni hayo unayo ropoka..

Uwepo wako dodoma unahusiano gani na kuwajibika kwa pinda?
 
Tatizo sio kuachia ngazi tatizo kuu ni kwamba suala hili linaweza pelekea chama chetu pendwa CCM kufutika kabisa kwenye daftari la msajili.

Hii account ya lusungo imekuwa hacked nini? Au nini kimempata huyu ndugu yetu leo? Nimemfuatilia leo yote michango yake siyo ile tuliyoizoea.
Please kama kuna mtu anafanya maombi juu ya hawa ndugu zetu kama MwanaDiwani, simiyuyetu, faizafoxy and co. aendelee, asikate tamaa nchi iko karibu kukombolewa kutoka utumwani wa ufisadi wa magamba.
Go go go mtumishi wa Mungu huko uliko, hii siyo kawaida, lazima kuna mtu anaomba na kufunga.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom