Kikao cha CCM ikulu ya Dodoma muda huu kupitia mapendekezo ya PAC

Kikao cha CCM ikulu ya Dodoma muda huu kupitia mapendekezo ya PAC

CMM walikwapua hizi hela Kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao. Waliofanya hivyo ili isije ikawa kama EPA. Habari tetesi zinasema kuwa fedha hizi zilitolewa Kwa watu maalum ambao pindi kampain zitakapofika waziwasikilishe sehemu maalum ili zitumike kuwalainisha wapiga kura kama kawaida yao.
 
CMM walikwapua hizi hela Kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao. Waliofanya hivyo ili isije ikawa kama EPA. Habari tetesi zinasema kuwa fedha hizi zilitolewa Kwa watu maalum ambao pindi kampain zitakapofika waziwasikilishe sehemu maalum ili zitumike kuwalainisha wapiga kura kama kawaida yao.

mbowe kapewa 1.5 bilioni kwani naye ni ccm?
 
KAribu sana mkuu....Ndiyo maana nasema sisi tuende mbali ya Uchina...kutokana na ukubwa wa tatizo wahusika wakamatwe, washitakiwe , wafiliziwe, na kisha wachomwe sindano ya 'theodani' wapumzike. haya yafanyike ndani ya siku mbili. Nimelazimika kweli kusema haya kutokana na uchungu nilionao.

Hiyo sindano inauzwa wapi? Tufundisheni vijana tuiteke hiyo mizee mijizi na majudges wote mafisadi tuichome wenyewe ife! Kama ambavyo imesababisha mama zetu wamefia muhimbili na ocean road hospitals kwa kukosa huduma na sisi tupo tayari kuvizia mmoja mmoja na kuishughulikia!
Tufundisheni muache maneno matupu!
 
Watanzania wakiichagua CCM 2015 itadhihirika wazi wazi kuwa tumelogwa.

Kasha ya Escrow inatosha kabisa kuiangusha CCM.

Kama ilivyoandikwa "enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaloga?" Wagalatia 3:1

Sasa nauliza enyi Watanzania msio na akili ni nani aliyewaloga mpaka kashfa zinapita bila kuichukulia hatua CCM.

Ilibidi miji yote tuandamane mpaka CCM ing'oke Mara moja. Tusipofanya hivyo tumelogwa.

Nyerere na Kawawa walituloga kule Lindi mara baada ya Uhuru! Walizika akili zetu ili watawale kwa namna wanayotaka wao! So usishangae Mkuu!
Halafu mbaya zaidi wamekufa!
 
Taarifa hizi zote Yericko anaripoti toka Kigamboni
Source: Nimesikia
 
Nyerere na Kawawa walituloga kule Lindi mara baada ya Uhuru! Walizika akili zetu ili watawale kwa namna wanayotaka wao! So usishangae Mkuu!
Halafu mbaya zaidi wamekufa!

CCM inachaguliwa katika kila kaya,kila kitongoji,kila kata,kila jimbo,kila wilaya,kila mkoa Tanzania.Kama akili yako imezikwa ni wewe na ukoo wako.
 
Wakuu,

CCM wamekutana kwa dharura muda huu katika ukumbi wa ikulu ya Dodoma.

Agenda kuu ni kupitia ripoti nzima na MAPENDEKEZO ya PAC, Wanataka kupitia mapendekezo ya PAC mapema na kulekezana namna ya kuokoa, pia ripoti waliyogawa kwa wajumbe haina vielelezo kwa ajili ya rejea. Mbali na bank statements ya Rugemarila, imefichwa ya Pap.

Wamewaita wajumbe wote wa CCM waliopo PAC ili watolee ufafanuzi wa mapendekezo hayo.

Wajumbe hao ni:

Zainab vullu, Ali Mohamed kessy, Jabir marombwa, Faida Bakari, Kangi Lugola, Deo filikunjombe.

Katika hatua nyingine Katibu wa bunge Mr Kashilila amegoma kupokea barua ya Mahakama.

Barua hiyo imeletwa kwa ndege ya kukodi,Wakili aliyefungua kesi anatoka kijiji kimoja na Pm, alikuwa NCCR Mageuzi zamani sasa yupo CCM.

UPDATES
Mwelekeo ni kuokoa chama na serikali, wametoka dk hii kikao kimeisha, wajumbe Wa pac walioitwa Wali escape (walitia ngumu, walifika na kutoka)

Wabunge Wa ccm wameambiwa kuwa imara na kushikamana Kwa maslahi ya Chama, AG na Muhongo walikuwa wanawapa somo, January Makamba amemshutumu waziri mkuu kwa kuzembea,

Wamekubaliana kwa kauli moja kuwakabili UKAWA.

uzuri wa yericko taarifa zake sio za kupepesa macho....kula tano mkuu.
 
Eee Mungu wa yakobo na isaka tenda haki. Sasa chama kinawaitaje pac? kwani pac ni ccm?naje pac inawajibika kwa ccm hafi waitwe na hicho chama? Naje kweli pac zito wamekubali kuingia kwa hicho kikao cha pukoo wa panya? Nani wakunijibia maswali haya. Ee Mungu tuokoe cc watz

We mburula kwelikweli. Mungu wa Yakobo na Isaka ankuhusu nini wewe Mbongo? Kwanza hata kukujua hakujui.
 
Vijana wetu wamekosa mikopo vyuo vikuu,lakini pesa zimeshikwa na watu wachache na tunawaonea aibu.
ndio maana huwa napenda sana sheria za uchina,haya tuyaonayo Tanzania hayawezi tokea uchina na hata kama yakitokea wahusika hawawezi pewa nafasi ya kutembea ktk hii dunia
hao vijana wenyewe wamelala! I thought wangekuwa wanatia hamasa
 
...""ccm maslahi" hao...haya yote yanatokea kwa kuwa taifa hili linatawaliwa na rais wa hovyo kupindukia...wizi huu amebariki yeye...sasa ona wanavyohangaika kutoka.....rais asipoangalia ataondoka madarakani na "ccm maslahi" yake....I really pity the useless president we have in TZ....alafu atakaporudi TZ ataishia kuchekacheka tu na jambo hili kama vile watanzania ni majuha wasiojua yanayotokea nchi hii...inaudhi sana...
 
We mburula kwelikweli. Mungu wa Yakobo na Isaka ankuhusu nini wewe Mbongo? Kwanza hata kukujua hakujui.

Hata ukilia sala zimefika. Hata farao alikuwa na moyo mgumu ila mwisho wa siku akasarenda na kupigwa na mungu na kusambaratishwa kabisa. Hautaweza shindana na Mungu.
 
Ubarikiwe Sana Kamanda aka Mpiganaji Yeriko Nyerere kwa update zenye Afya mimi niwakumbushe tu CCM kuwa hivi vita cyo ya ukawa bali ni ya wananchi na kama wanataka kubisha hili wajaribu! La Katiba bado halijaisha :A S-rap:
 
Kulifanya hili ni la CCM ni kujitia kichaa. CCM has nothing to do with this lot, hata kama baadhi ya washiriki wakuu kwenye hili ni wana CCM. Hili ni kinyume cha katiba ya CCM na wahusika hawawezi kulindwa na CCM.
 
Jana mzee Warioba akijibu swali kutoka kwa kijaana alijitambulisha kwa chama cha ccm alisema kuna ccm imani na ccm maslahi, mambo ni imbalance kabisa ccm imani ni ¹/4 na ccm maslahi ni ³/4 hii ni hatari sana.
 
Mpk ndege ya kukodi kuleta barua? Dhl wamekataa kuipeleka naona. Hivi Tanzania tumelogwa na nani?

Tanzania tumelogwa na mwenge, ile garama inayokimbiza ule mwenge si bure haiwezi kuwa hivihivi, kuna chembe chembe za kudumaza ujasiri wa mtanzania unatoka katika ule moshi. Tu ungane kupiga chini kwanza ni uchafuzi wa mazingira.
 
Back
Top Bottom