Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,402
- 1,618
tafadhari=tafadhaliMaelezo tafadhari! Wengine hatujui sheria. Polonium-210 ndo nini?
Mkuu, Polonium 210 si sheria, hiyo ni sumu.
tafadhari=tafadhaliMaelezo tafadhari! Wengine hatujui sheria. Polonium-210 ndo nini?
Maelezo tafadhari! Wengine hatujui sheria. Polonium-210 ndo nini?
Hivi kwanini Ccm inatumia nguvu kubwa hivyo kuwa tetea wezi? Kuna siri gani hapo kati kayi? Hivi Mwalimu Nyerere angekuwa hai huu upuuzi ungefanyika kweli? Ccm mbonamnajudhalilisha mbele ya wananchi? Siamini kama mmefikia hapo. Sioni mantiki ya kujadili hili jambo. Kama ni wexi fukuzeni na warudishe hela. Kinyume na hivyo tuaminisheni mnajua mpango wote wa wizi kwa manufaa ya chamachenu. Familia ya panya.
Wanatapa tapa sana lakini mioyo wa Watanzania inasubiri kesho ili ijulikane mbivu mbivu.
Mkuu acha wakeshe....a foolish dog is barking at the flying birdsWakuu,
Ccm wamekutana kwa dharura muda huu katika ukumbi wa ikulu ya Dodoma,
Agenda kuu ni kupitia ripoti nzima na MAPENDEKEZO ya PAC, Wanataka kupitia mapendekezo ya PAC mapema na kulekezana namna ya kuokoa, pia ripoti waliyogawa kwa wajumbe haina vielelezo kwa ajili ya rejea. Mbali na bank statements ya Rugemarila, imefichwa ya Pap.
Wamewaita wajumbe wote wa CCM waliopo PAC ili watolee ufafanuzi wa mapendekezo hayo.
Wajumbe hao ni:
Zainab vullu, Ali Mohamed kessy, Jabir marombwa, Faida Bakari, Kangi Lugola, Deo filikunjombe,
Katika hatua nyingine Katibu wa bunge Mr Kashilila amegoma kupokea barua ya Mahakama,
Barua hiyo imeletwa kwa ndege ya kukodi,Wakili aliyefungua kesi anatoka kijiji kimoja na Pm, alikuwa Nccr zamani sasa yupo Ccm
Kaka nipo vizuri hayo yote nayafanya na naendelea kufanya
Huyu Mungu unaemlilia alishakwambia'jisaidie na mimi nitakusaidia',ni vizuri ukawa wa kwanza kujiandikisha katika daftari la wakaazi na ukaishawishi jamii inayokuzunguka nayo ikafanya hivyo ili uweze kupata haki ya kuweka Serikali safi madarakani lakini kulia tu bila ya kuchukua hatua ni kazi bure.
Nimependa maelezo yako ila hapo mwishoni ndo umekua mnafiki.. huyo wakili aliyeleta hiyo barua na ndege ya kukodi kwanini usiseme zamani alikua Nccr na sasa yuko Chadema(marando)? Jaman mbona unafiki unawazidi mnashindwa kuinena kweli tupu?
eeehhhh..!! Mbombooo ngafuu.!
Nilale.
Kesho ni public holiday, mimi na tv, tv na mimi
Kesho ni public holiday, mimi na tv, tv na mimi
CCM inanitia hasira mpaka basi.Yani ikulu pamekuwa sehemu ya kujadili namna ya kulinda wezi!?.