We utakuwa uko Mirembe day, ujinga ni upi sasa hapo?
nilishakudharau siku nyingi, ww ni Mpuuzi sana
We utakuwa uko Mirembe day, ujinga ni upi sasa hapo?
Ngoja nizime kabisaa hii tv, huyu kichaa asinipotezee muda maa hakawii kutukana huyo.Tafadhari mtazame na kumsikiliza Tundu Lisu akifafanua mambo kibaao.
Wala usiharakishe ukajapata ajali bure! Anaongea pumba tupu! Kakumbana na Thomas Ngawaiya amepigwa maswali hana majibu ya maana, kaulizwa kwa nini walionyesha dharau na kutimuliwa bungeni, amejibu mambo ya ajabu kweli! Eti hata wakati wa kupigania uhuru na kupinga ubaguzi wa rangi, tulikuwa tunagomea hata michezo au bidhaa za mataifa adui! Hii ni akili kweli! Nenda polepole tu mkuu.
Huyo dogo anayeendesha hiki kipindi anaweza!
Wala usiharakishe ukajapata ajali bure! Anaongea pumba tupu! Kakumbana na Thomas Ngawaiya amepigwa maswali hana majibu ya maana, kaulizwa kwa nini walionyesha dharau na kutimuliwa bungeni, amejibu mambo ya ajabu kweli! Eti hata wakati wa kupigania uhuru na kupinga ubaguzi wa rangi, tulikuwa tunagomea hata michezo au bidhaa za mataifa adui! Hii ni akili kweli! Nenda polepole tu mkuu.
Mkuu ukweli ndo huo baada ya kuonyesha wazi kwamba ni mweupe wa katiba na kanuni kwa kutamka vifungu ambavyo havipo kwenye kanuni wala katiba hata baada ya Lissu kumsomea.
Acha ukiazi wewe
Ngawaiya mchache sana kwa kamanda kama lissu..
nilishakudharau siku nyingi, ww ni Mpuuzi sana
Mmemuuliza Lissu kwa nini hakujibu swali la msingi kuwa ni kwa nini walileta vurugu hadi kufukuzwa bungeni na ni vipengele gani hasa walikuwa wanavikataa na vina athari gani kwa jamii?
Huyu mheshimiwa angekuwa anatoa hoja kwa utulivu na mtiririko km Zito angeweza kuliokoa sana Taifa hasa ktk kuepusha kupitisha madudu mengine yasiyoeleweka bungeni. Ila tatizo huwa anawaka sana kiasi cha kufanya spika atumie ubabe kumkalisha chini.
Sera yao ya kususia bunge inacost sana taifa, lakini pengine ni njia ya kuexpress kuwa hawajaridhishwa na jambo.
Ila kuna msemo: Ukisusa wenzio twala... sasa jamaa kweli wala tena watafuna haswaaa.
Mungu awajalie warejee tena mjengoni ila wabadili staili, siyo kukacha bungeni.
Kama msomi, katika kutoa majibu lazima utumie na mifano, na hata kisheria, kumbukumbuku katika historia ya matukio ni muhimu sana hivyo kulingana na profession yake majibu yake ni sawa kabisa. Usikurupuke ndugu, chukua glasi ya maji, tulia, shushia kila jibu litakalokuchoma kwasababu nahisi kuna chuki binafsi zinazokuzuia wewe kuheshimu hekima ya mh lissu. Remember; A FOOL can never appreciate WISDOM, tread softly , because that's what you sound like now, I will consider that a honest mistake perhaps?Wala usiharakishe ukajapata ajali bure! Anaongea pumba tupu! Kakumbana na Thomas Ngawaiya amepigwa maswali hana majibu ya maana, kaulizwa kwa nini walionyesha dharau na kutimuliwa bungeni, amejibu mambo ya ajabu kweli! Eti hata wakati wa kupigania uhuru na kupinga ubaguzi wa rangi, tulikuwa tunagomea hata michezo au bidhaa za mataifa adui! Hii ni akili kweli! Nenda polepole tu mkuu.
Ndio maana nawaambiaga huko ccm wote ni wachache sana ulisikiliza bunge wakati wanatolewa? Ulisikia wanasema wamegomea vifungu? Ulitaka wagomee vifungu ambavyo havijasomwa bado?
kwanini walipinga mswada wa gas na mafuta?
Kama msomi, katika kutoa majibu lazima utumie na mifano, na hata kisheria, kumbukumbuku katika historia ya matukio ni muhimu sana hivyo kulingana na profession yake majibu yake ni sawa kabisa. Usikurupuke ndugu, chukua glasi ya maji, tulia, shushia kila jibu litakalokuchoma kwasababu nahisi kuna chuki binafsi zinazokuzuia wewe kuheshimu hekima ya mh lissu. Remember; A FOOL can never appreciate WISDOM, tread softly , because that's what you sound like now, I will consider that a honest mistake perhaps?
Mkuu ukweli ndo huo baada ya kuonyesha wazi kwamba ni mweupe wa katiba na kanuni kwa kutamka vifungu ambavyo havipo kwenye kanuni wala katiba hata baada ya Lissu kumsomea.
Kweli UKAWA na wafuasi wao ni vichaa! Utasusia kitu hata hujakisoma! Na nyinyi mnawashangilia na si ajabu wakija kuwaomba kura mkawapa kwa UPOPOMA wenu!
Tundu lisu una mpango wa kugombea tena ubunge kwa awamu ya 5??