Kikaangoni na Tundu Lissu muda huu

Kikaangoni na Tundu Lissu muda huu

Kwa vurugu zile alizoanzisha huyu jamaa na genge lake unadhani wangeweza kukaa na kujenga hoja kwa staili ipi?
Tatizo lako ni kunufaika na mfumo wa kifisadi kiasi kwamba mpaka akili yako imelamaa! mbona humlaumu bibi kiroboto aliyeshindwa kuliendesha bunge kama chombo huru?
 
We jamaa kweli hamnazo, in short wewe utakuwa ni mpumbavu na sio mjinga...maana mjinga akielimishwa anaelewa lakini wewe hata watu wakueleweshe vipi kuelewa imekuwa tabu...I am sure hata nikirudia kukueleza ambacho kina Lissu na wengine walikuwa wanapinga nitakuwa napoteza muda!

We sawa sawa na machizi tu kama hawa UKAWA. mtu unagomea kitu bila sababu eti tu kwa kuwa unaitwa mpinzani! Miswada walishapewa na kwenye semina ililetwa kabla ya kuletwa bungeni kusomwa. Wabunge wa UKAWA badala ya kugawana vipengele na kuvisoma ili waje wajenge hoja, wao wakawa wanaonekana groceries wanapiga pombe! Sasa kosa la nani? Ulevi na starehe zao ndio waje walete fujo bungeni kuzuia miswaada! Hell no! Miswaada imesomwa watajibeba!
 
Tatizo lako ni kunufaika na mfumo wa kifisadi kiasi kwamba mpaka akili yako imelamaa! mbona humlaumu bibi kiroboto aliyeshindwa kuliendesha bunge kama chombo huru?
Imelamaa = Imelemaa

Humlaumu = Haumlaumu
 
Tatizo lako ni kunufaika na mfumo wa kifisadi kiasi kwamba mpaka akili yako imelamaa! mbona humlaumu bibi kiroboto aliyeshindwa kuliendesha bunge kama chombo huru?

Kwa hiyo ulitaka Mhe Spika awarambe miguu!? Au ulitaka wapigwe? Majitu mazima yalikuwa yanazomea kama mitoto mitukutu! Ni aibu kubwa kwa waliowachagua hao wabunge wa chadema!
 
Leo kwa ukweli huu Ccm wasipofungia Itv sijuwi
 
Kwa hiyo ulitaka Mhe Spika awarambe miguu!? Au ulitaka wapigwe? Majitu mazima yalikuwa yanazomea kama mitoto mitukutu! Ni aibu kubwa kwa waliowachagua hao wabunge wa chadema!
Huna uwezo wakufikiri, wewe ni mpumbavu tu!
 
A crooked lawyer,who knows law better than the Attorney general his whole group of lawyers combined? Let me tell you, the smartest man ever to walk this earth was JESUS CHRIST OF NAZARETH, and even HE used examples because that's the simplest way a simple mind can understand a complicated subject. Wisdom is not just saying things like the learned do but rather finding the terms to explain a subject and have the simplest mind understand. Do not call the man a crook because you become the crook in doing so, every body knows he is a renowned lawyer. Arguing against isn't necessarily being disrespectful, it's actually so mucb easier coming up with an equally smart counter point if you can respect the wisdom in another's. You seem redeemable, CCM are EVIDENTLY the CROOKS not SPECULATIVELY as for Tundu Lissu, Be wise, let us save our children and their children by voting the real crooks out

Aagh! Here you come again! Don't you use that ball shaped thing above your neck you call it head!? Talking about JESUS, who the hell is he? Those stories from the books which came with explorers in their ships! Be reasonable, talk about realities not those hear say stories, Lissu is empty headed lawyer, and if that guy is your role model, you have nothing to learn from him except foolish arguiments.
 
Huna uwezo wakufikiri, wewe ni mpumbavu tu!

Upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya hekima za mwanadamu: Mtume Paulo.
Kwa hiyo hata mimi binaadamu ukiniita mpumbavu hujakosea kwa mujibu wa imani yako.
 
Upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya hekima za mwanadamu: Mtume Paulo.
Kwa hiyo hata mimi binaadamu ukiniita mpumbavu hujakosea kwa mujibu wa imani yako.
Ondoa upuuzi wako we mwendawazimu! kuna sababu gani kumuabudu Mungu mpumbavu?
 
Ukawa walikuwa sahihi kwani serikali mbovu huzaa sheria mbovu. Tundu lissu anajulikana hata kwa raisi mwenyewe kwamba ni noma.pamoja sana
 
Mbona humuogopi mama yako mzazi anayetembea uchi mbele za watu na kukudharirisha?

Mama yangu hawezi kutembea uchi, anajiheshimu sio mjinga na mkosefu wa adabu kama hao wabunge watoto wadogo waliokuwa wanamjibu vibaya mtu aliyezidi makamo ya mama yao.
 
Ndiyo matatizo ya kusoma shule za kata akili zinakuwa za kijingajinga tu kutokana na kujazwa UJINGA. Adui wa kwanza wa Watanzania ni CCM na wa pili ni UJINGA ambao pia unasababishwa na CCM. Ungekuwa unajitambua usingekurupuka kuja andika ulichoandika.

Yuko live hotmix muda huu, amekumbana na Thomas Ngawaiya, amepigwa maswali ya msingi na kuulizwa sababu za msingi za kususia bunge na kuonyesha dharau kwa kiti, hana jibu la maana zaidi ya kutoa mamifano yasiyokuwa na tija. Mara ooh hata wakati wa kugombea uhuru wa nchi za Afrika palikuwa na migomo mbalimbali kwa hiyo ndio wamegoma! Hasemi kasoro za muswada wala nini!
Source: Yuko live Hotmix eatv
 
Back
Top Bottom