Kikaangoni na Tundu Lissu muda huu

Kikaangoni na Tundu Lissu muda huu

Miswada yote inayoletwa na serikali ina kasoro!Ni kazi ya wabunge kuirekebisha na kuifanya/kutunga kuwa sheri nzuri kwa manufaa ya umma!Nadhani kilichowakimbiza sio ubaya wa miswada bali ni udharura (namna ilivyoletwa) ilikiuka kanuni na ukaletwa ubabe fulani na spika!otherwise mie naona hawakukosea maana walikuwa na haki ya kusikilizwa hoja zao kuliko kuwa sehemu ya kitu ambacho huridhiki nacho

Kwa vurugu zile alizoanzisha huyu jamaa na genge lake unadhani wangeweza kukaa na kujenga hoja kwa staili ipi?
 
Wala usiharakishe ukajapata ajali bure! Anaongea pumba tupu! Kakumbana na Thomas Ngawaiya amepigwa maswali hana majibu ya maana, kaulizwa kwa nini walionyesha dharau na kutimuliwa bungeni, amejibu mambo ya ajabu kweli! Eti hata wakati wa kupigania uhuru na kupinga ubaguzi wa rangi, tulikuwa tunagomea hata michezo au bidhaa za mataifa adui! Hii ni akili kweli! Nenda polepole tu mkuu.

hata yule mkuu wa pspf alisema kulikuwa hakuna uharaka wa huu mswada wa oil na gas. Na alisema suala hilo linahitaji ushirikishwaji mkubwa wa wadau. kama wadau wakubwa wana comment namna hiyo wewe nani ubeze upinzani? Kwani bunge lijalo lisingeweza fanya hiyo kazi?
 
Miswada na bajeti zote zilizopitishwa kipindi hiki cha makinda akidi haikutimia kwa mujibu wa kanuni za bunge na katiba ya nchi -Tundu Lissu
 
Jamaa anaongea kwa fact (katiba na kanuni za kudumu za bunge) , Ngawaiya anajikuna tu. Kweli CCM ni too low! Nashukuru Allah kuniumba na akili hata nasapoti upinzani!
 
Kmalizia kwa kusema kuwa spika Makinda ataingia katika rekodi kama spika aliekuwa anadharau sana katiba na kanuni za bunge na kuwa mikataba yote iliyopitishwa wiki hizi mbili za mwisho ni batiri.
 
Inamaana kipindi kishamalizika?
Kipindi kimeisha mkuu kwa Ngawaiya kuwa kituko nafikiri mke wake na wanae huko nyumbani hawana amani ya roho kwa namna Mzee Ngawaiya alivyoonyesha ni mweupe kabisa.
 
Yuko live hotmix muda huu, amekumbana na Thomas Ngawaiya, amepigwa maswali ya msingi na kuulizwa sababu za msingi za kususia bunge na kuonyesha dharau kwa kiti, hana jibu la maana zaidi ya kutoa mamifano yasiyokuwa na tija. Mara ooh hata wakati wa kugombea uhuru wa nchi za Afrika palikuwa na migomo mbalimbali kwa hiyo ndio wamegoma! Hasemi kasoro za muswada wala nini!
Source: Yuko live Hotmix eatv

Mwanaume unapokuwa una comment ujinga kama huu inabidi uchunguzwe sana. Maana ulistahili uwe ndani ya Mirembe
 
Kipindi kimeisha mkuu kwa Ngawaiya kuwa kituko nafikiri mke wake na wabae huko nyumbani hawana amani ya roho kwa namna Mzee Ngawaiya alivyoonyesha ni mweupe kabisa.

Acha uongo, Ngawaiya amekuwa mweupe kivipi? Acha mahaba ya kijinga.
 
Naona tiyari Lowasa kalipia muda wa hewani kwa Kazee kasiko na meno Kingunge Chanel 10 saa 4 usiku huu!!

Daah! Jamaa kawekeza kwenye Urais utadhani Dangote Cement Company!
 
Teh Teh kakosa la kujitetea...hakika amedhihirisha hakukuwa na sababu za msingi!
 
Acha uongo, Ngawaiya amekuwa mweupe kivipi? Acha mahaba ya kijinga.
Mkuu ukweli ndo huo baada ya kuonyesha wazi kwamba ni mweupe wa katiba na kanuni kwa kutamka vifungu ambavyo havipo kwenye kanuni wala katiba hata baada ya Lissu kumsomea.
 
Back
Top Bottom