UNAPOKUA UNAHARISHA TAFUTA CHOO SIO HAPA JF, KWANINI MNAKATAA ISIJADILIWE SASA KUNA AGENDA GANI MMEFICHA?, UKISHAKUA MPINZANI UNAKUA NA UKICHAA WA AINA FULANI KUKATAA KILA KITU UNATAKA IJADILIWE LINI NA HALI WATU WAPO SITE NA KUNA WATU BADO WANAKUJA KUWEKEZA KWAIYO AYO YOTE YAENDE KIHOLELA BILA SHERIA MADHUBUTI INAYOENDANA NA WAKATI!!??, ACHENI KUCHEZA NGOMA MSIYOIJUA MNAFUATA UPEPO HAMJUI MNAKOELEKEA MNASHIKWA MASKIO KIZEMBE KUSINGIZIA UZALENDO KUMBE UNAFIKI MTUPU
Ndiyo sababu nimekuharishia wewe coz unaongea shitt kama vile wee choo. Hawajakataa miswada isijadiliwe, wamekataa miswada kujadiliwa kama ya dharura, hiyo ni miswada muhimu na mikataba ya mda mrefu huwezi kukurupuka kisa wawekezaji wako mlangoni tayari, ni bora wawekezaji wakasubirishwa miaka hata kumi kuliko tupitishe mikataba kwa siku moja isiyo na manufaa kwetu wananchi. Sasa gas ni mali, mchina na mmarekani wanaitaka kupita maelezo lakini hata badala ya gesi kupatikana bidhaa zimepanda bei, maisha yameongezeka garama, halafu mi ccm mnaendelea kukurupuka. Nyie si ajabu mna mapepo, kwasababu hata governor wa bank ya dunia alipokuwa aki adress ishu ya uchumo wa tanzania kuporomoka alisema," kwa mali asili mlizonazo msingetakiwa kuwepo hapa, inashangaza sana!". Sasa nyie mnapepo la ujinga ndiyo sababu hamuelewi, mnapepo la unyama ndiyo sababu mnatetea uwizi wenu kama vile mna haki ya kuwa wezi, na I promise you mwisho wa ubaya aibu, mwezi wa kumi tuwanyang'anye hizo spray mbaki na harufu ya uchoo wenu. Hamtotawala milele wezi nyie