Kikaangoni na Tundu Lissu muda huu

Kikaangoni na Tundu Lissu muda huu

Ndiyo matatizo ya kusoma shule za kata akili zinakuwa za kijingajinga tu kutokana na kujazwa UJINGA. Adui wa kwanza wa Watanzania ni CCM na wa pili ni UJINGA ambao pia unasababishwa na CCM. Ungekuwa unajitambua usingekurupuka kuja andika ulichoandika.

Mtu unapotoka chooni, inabidi uje na pozi halafu ufuatilie ishu sio kukurupuka kama chizi. Sasa hapo ujinga nilioandika mimi uko wapi?
 
We sawa sawa na machizi tu kama hawa UKAWA. mtu unagomea kitu bila sababu eti tu kwa kuwa unaitwa mpinzani! Miswada walishapewa na kwenye semina ililetwa kabla ya kuletwa bungeni kusomwa. Wabunge wa UKAWA badala ya kugawana vipengele na kuvisoma ili waje wajenge hoja, wao wakawa wanaonekana groceries wanapiga pombe! Sasa kosa la nani? Ulevi na starehe zao ndio waje walete fujo bungeni kuzuia miswaada! Hell no! Miswaada imesomwa watajibeba!

Yaani we kweli ni LIKIAZI,Hivi katika kujenga hoja unaweza kuwafananisha upinzani na ccm!.Eti wanaonekana Groceries wanapiga pombe,hivi unajielewa kweli wewe au ndo mahaba ccm yamekuzidia! njoo huku ujionee hao waliobaki bungeni uwaone wanavyofanya vituko na vibinti vidogo ni aibu hata kuwataja hapa.

Achana na akili za kushikiwa,zinduka,huna tofauti na na mabunge ya ccm,muswada unaletwa kwa Mara ya kwanza asubuhi karibia wote wanaupinga jioni haohao wanakuja wamebadilika.Tazama wasomi wote walio ccm,wote hovyo hawajielewi.
 
Kwa kweli kwa jinisi hawa wajamaa wanavyojibu upuuzi nimejifunza jinsi ya kuruka "post" zao za kipumbavu, angalao unapata muda wa kutosha kupata maoni wa wachangiaji "serious".
 
Ukweli weng wetu tunaajita wasomi ila kichwan mmmh hamnaga!
Lissu kasaidia Watz kufaham haki zao kisheria kama bado uko ktk shuka la bbi tambua hilo!
 
Yuko live hotmix muda huu, amekumbana na Thomas Ngawaiya, amepigwa maswali ya msingi na kuulizwa sababu za msingi za kususia bunge na kuonyesha dharau kwa kiti, hana jibu la maana zaidi ya kutoa mamifano yasiyokuwa na tija. Mara ooh hata wakati wa kugombea uhuru wa nchi za Afrika palikuwa na migomo mbalimbali kwa hiyo ndio wamegoma! Hasemi kasoro za muswada wala nini!
Source: Yuko live Hotmix eatv

mkuu umepotosha saana. utadhani umeangalia peke yako.nn
 
Yaani we kweli ni LIKIAZI,Hivi katika kujenga hoja unaweza kuwafananisha upinzani na ccm!.Eti wanaonekana Groceries wanapiga pombe,hivi unajielewa kweli wewe au ndo mahaba ccm yamekuzidia! njoo huku ujionee hao waliobaki bungeni uwaone wanavyofanya vituko na vibinti vidogo ni aibu hata kuwataja hapa.

Achana na akili za kushikiwa,zinduka,huna tofauti na na mabunge ya ccm,muswada unaletwa kwa Mara ya kwanza asubuhi karibia wote wanaupinga jioni haohao wanakuja wamebadilika.Tazama wasomi wote walio ccm,wote hovyo hawajielewi.

Nimegundua wote wafuasi wa mbowe mko brainwashed! Hata nimekesha nawaelimisha lakini haisaidii kitu, ni sawa ni kumpa elimu ya jinsi ya kutoroka kwa bosi wake ng'ombe anayedhani hapo anapofugiwa ndio mahali salama kumbe anasubiriwa anenepe achinjwe! Hamjitambui.
 
We sawa sawa na machizi tu kama hawa UKAWA. mtu unagomea kitu bila sababu eti tu kwa kuwa unaitwa mpinzani! Miswada walishapewa na kwenye semina ililetwa kabla ya kuletwa bungeni kusomwa. Wabunge wa UKAWA badala ya kugawana vipengele na kuvisoma ili waje wajenge hoja, wao wakawa wanaonekana groceries wanapiga pombe! Sasa kosa la nani? Ulevi na starehe zao ndio waje walete fujo bungeni kuzuia miswaada! Hell no! Miswaada imesomwa watajibeba!

Rejea hoja ya Mnyika alipokua anaomba mwongozo, moja ya maneno aliyotamka ni kua walipokua kwenye Semina walikubaliana Miswada hiyo isijadiliwe kwenye kikao hiki cha Bunge kilichomalizika jana, Sasa kilichowafanya kulazimisha ijadiliwe ili hali Wabunge wote pamoja na wa CCM walikataa kwenye Semina? Au inawezekana waliahidiwa viinua mgongo vyao vitazidishwa mara 2 ya kilichokua kimetangazwa? Ndio maana baada ya kupunguzwa kwa kiwango kikubwa wakaugomea Mswada wa Walimu? na baadhi yao kugeuka wapinzani? Rejea hoja za HK kuhusu akidi.
 
Aagh! Here you come again! Don't you use that ball shaped thing above your neck you call it head!? Talking about JESUS, who the hell is he? Those stories from the books which came with explorers in their ships! Be reasonable, talk about realities not those hear say stories, Lissu is empty headed lawyer, and if that guy is your role model, you have nothing to learn from him except foolish arguiments.

Is English the only thing you came out of school with?? You could atleast use it to read books, or even Wikipedia. You don't even know that history proves the existence of CHRIST as it proves the existence of Hitler, world war 2, Shakespeare, Caesar of rome, Alexander the great, didan kimathi, john Livingston. He was a real life person as any person you know from history was but never saw, history supports that. Are you really that ignorant or are you just pretending to be? ?you a dumm nigga man if u ain't know, somebdy better tell ya ass..
 
Miswada yote inayoletwa na serikali ina kasoro!Ni kazi ya wabunge kuirekebisha na kuifanya/kutunga kuwa sheri nzuri kwa manufaa ya umma!Nadhani kilichowakimbiza sio ubaya wa miswada bali ni udharura (namna ilivyoletwa) ilikiuka kanuni na ukaletwa ubabe fulani na spika!otherwise mie naona hawakukosea maana walikuwa na haki ya kusikilizwa hoja zao kuliko kuwa sehemu ya kitu ambacho huridhiki nacho
udharura unatokea wapi wakati wabunge kila wanapomaliza kikao kimoja wanaanza maandalizi ya kikao kinachofuata mimi nafikiri walikua wanajua ktk kikao hichi watajadili iyo miswada sema tatizo la upinzani tanzania hawana huruma kabisa wenyewe kazi yao ni kupinga na kualibu utaratibu wa bunge ili ionekane wameonewa ndio maana hawana hoja kuelezea kinagaubaga kisa cha wao kususia zaidi wataleta blahblah tu, kwanza uyo tundu lissu akajipange jimboni anaweza asirudi bungeni akawa mbeba mafaili pale ufipa street
 
Tundu Lissu ni kweli ubunge umekuletea umasikini? Umejisikiaje baada ya serikali kupunguza kiinua mgongo cha wabunge ambacho ulikuwa umeishakipigia hesabu kukitumia wewe na familia yako?
Hivi wewe unajua mbunge wa kariba ya tundu lissu anaingiza sh ngapi kwa mwaka? Au unajamba maharage tu hapa!!
 
Wala usiharakishe ukajapata ajali bure! Anaongea pumba tupu! Kakumbana na Thomas Ngawaiya amepigwa maswali hana majibu ya maana, kaulizwa kwa nini walionyesha dharau na kutimuliwa bungeni, amejibu mambo ya ajabu kweli! Eti hata wakati wa kupigania uhuru na kupinga ubaguzi wa rangi, tulikuwa tunagomea hata michezo au bidhaa za mataifa adui! Hii ni akili kweli! Nenda polepole tu mkuu.

Mkuu kaongea nn mpambanaji wetu huyu
 
Huyu mheshimiwa angekuwa anatoa hoja kwa utulivu na mtiririko km Zito angeweza kuliokoa sana Taifa hasa ktk kuepusha kupitisha madudu mengine yasiyoeleweka bungeni. Ila tatizo huwa anawaka sana kiasi cha kufanya spika atumie ubabe kumkalisha chini.

Sera yao ya kususia bunge inacost sana taifa, lakini pengine ni njia ya kuexpress kuwa hawajaridhishwa na jambo.

Ila kuna msemo: Ukisusa wenzio twala... sasa jamaa kweli wala tena watafuna haswaaa.

Mungu awajalie warejee tena mjengoni ila wabadili staili, siyo kukacha bungeni.

upinzani au wabunge walio wachache kutoka nje ya bunge au kususia bunge ni haki na ni sheria pia inawaruhusu na hii sio Tanzania tu ni dunia nzima na wapinzani hufanya hivo kumaanisha kwamba hawajakubaliana na jambo fulani kupitishwa ama kujadiliwa bungeni,na kwa kuwa wakati wa kupitisha wao huwa wachache na hvo kura zao kutotoshereza basi huruhusiwa kuonesha msimamo wao kuwa hawajakubali kwa kutoka nje ya ukumbi au kususia shughuli za bunge,hata hivo serikali inaweza kushtakiwa mahakama za kimataifa kwa kosa la kuruhusu wabunge walio wengi kupitisha mambo yasiyokubalika kwa kigezo hcho cha wapinzani kutoridhika.
 
Mungu tujaalie bunge lijalo tupate wabunge 10 tu wenye uwezo mkubwa kama tundu lisu ili maslahi ya taifa letu yalindwe
 
udharura unatokea wapi wakati wabunge kila wanapomaliza kikao kimoja wanaanza maandalizi ya kikao kinachofuata mimi nafikiri walikua wanajua ktk kikao hichi watajadili iyo miswada sema tatizo la upinzani tanzania hawana huruma kabisa wenyewe kazi yao ni kupinga na kualibu utaratibu wa bunge ili ionekane wameonewa ndio maana hawana hoja kuelezea kinagaubaga kisa cha wao kususia zaidi wataleta blahblah tu, kwanza uyo tundu lissu akajipange jimboni anaweza asirudi bungeni akawa mbeba mafaili pale ufipa
Tuseme hiyo miswada ingepewa muda kujadiliwa kila kipengele tofauti na kuharikishwa ingekuwa na manufaa kwa wananchi au isingekua na manufaa kwao? Na ni mikataba gani unayoijua yenye manufaa kwa wananchi kuliko serikali ambayo serikali hili ya mi ccm imewahi kushupaliwa ipitishwe kwa maubavu hivyo? Usiwe unaropoka kama ulipewa minyoo badala ya ubongo, wapinzani wakitetea katiba wanatetea impendelee mwananchi na wakitetea mikataba wanatetea impendelee mwananchi pia, sasa wewe Umekula maharage gani mpaka uwachukie upinzani kwa kumtetea mwananchi? Huna hata huruma na nchi yako kwasababu huwezo kuwa mzalendo na kusapoti chama kinacho tengeneza mikataba ya kuumiza wananchi, kinachoporomosha uchumi na kutetea mafisadi. Wewe una laana I tell you. PTUUUUU! NIMETEMA MATE LAANA YAKO ISIPATE WATOTO WANGU.
 
Back
Top Bottom