Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 5,280
- 10,112
- Thread starter
- #101
Asante kwa kujaWewe upewe mke Umpe nini?
Mtu unalewa mpaka unalala kwenye makaravati.
Asante kwa kujaWewe upewe mke Umpe nini?
Mtu unalewa mpaka unalala kwenye makaravati.
Picha ya photolab hiyoWakati wa kuchagua mke anayefanya kazi, unapaswa kukubali kwamba hawezi kushughulika muda mwingi na maswala ya nyumbani
Ikiwa umechagua mama wa nyumbani ambaye anaweza kukutunza wewe, kuwatunza wanao na kusimamia nyumba yako kikamilifu, lazima ukubali kuwa hapati pesa.
Ukichagua mwanamke mtiifu, lazima ukubali kwamba anakutegemea na lazima uhakikishe maisha yake yanakuwa mazuri
Ukiamua kuwa na mwanamke mwenye mpambanaji, lazima ukubali kuwa yeye ni mpambanaji na ana maono yake mwenyewe.
Ikiwa unachagua mwanamke mzuri, basi itabidi ukubali gharama
Ikiwa unaamua kuwa na mwanamke aliyefanikiwa, ni lazima uelewe kwamba ana tabia na ana malengo na matarajio yake.
Hakuna kitu kama ukamilifu. Kila mtu ana kitendawili chake, ambacho humfanya kuwa wa kipekee.
fikiria chukua hatua
Jumatatu njema wananzengo
View attachment 2776737
NaamPicha ya photolab hiyo
Kuoa lazima nione sema nitachelewa kidogoOooh
Social standards sio?
KATAA NDOA
Makala VAT?Wewe upewe mke Umpe nini?
Mtu unalewa mpaka unalala kwenye makaravati.
Vipi ushaenda tena kupiga gambe?Makala VAT?
Wewe mcheza viduku pita kushotoVipi ushaenda tena kupiga gambe?
Hahaaaa tayariii ishapandaaWewe mcheza viduku pita kushoto
Yaani mapema hivii?Wewe mcheza viduku pita kushoto
Tulia wewe mnywa vSunguraNota Bene 59124 Lete spoku zako hapa
Umepanda nini?Hahaaaa tayariii ishapandaa
Sema unatia aibu sana wazee wako.Tulia wewe mnywa vSungura
Nje kwako?Yaani mapema hivii?
Ukirudi unalala nje.
UlanziUmepanda nini?
Wazee wako wanajua?Sema unatia aibu sana wazee wako.
Si hapa kwenye banda lako la kukuNje kwako?
ChimpumuUlanzi
Ndio kwenye Banda lako la bataSi hapa kwenye banda lako la kuku