Kijana unayetarajia kuoa, soma hapa

Kijana unayetarajia kuoa, soma hapa

Jane Msowoya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2017
Posts
5,280
Reaction score
10,113
Wakati wa kuchagua mke anayefanya kazi, unapaswa kukubali kwamba hawezi kushughulika muda mwingi na maswala ya nyumbani

Ikiwa umechagua mama wa nyumbani ambaye anaweza kukutunza wewe, kuwatunza wanao na kusimamia nyumba yako kikamilifu, lazima ukubali kuwa hapati pesa.

Ukichagua mwanamke mtiifu, lazima ukubali kwamba anakutegemea na lazima uhakikishe maisha yake yanakuwa mazuri

Ukiamua kuwa na mwanamke mwenye mpambanaji, lazima ukubali kuwa yeye ni mpambanaji na ana maono yake mwenyewe.

Ikiwa unachagua mwanamke mzuri, basi itabidi ukubali gharama

Ikiwa unaamua kuwa na mwanamke aliyefanikiwa, ni lazima uelewe kwamba ana tabia na ana malengo na matarajio yake.

Hakuna kitu kama ukamilifu. Kila mtu ana kitendawili chake, ambacho humfanya kuwa wa kipekee.

fikiria chukua hatua

Jumatatu njema wananzengo

IMG-20230920-WA0004.jpg
 
View attachment 2776737
Bado naendelea kuwasiliana na Mariam kwa karibu mtoto wa shangazi najua itafika muda atakubali nimuoe .

Ikishindikana nitaujulisha hata ukoo umueleze adhma yangu na pia ajue ni jukumu lake kuolewa na mimi sio nitafute magubegube yaje kunirarua wakati ndugu yangu wa kuoa yupo .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Binamu nyama ya hamu
 
Mwanaume ni kichwa(ubongo), mwanamke ni moyo(hisia) na watoto ni viungo(utendaji)... Hivi vikiwa katika balance, maisha ya kifamilia huwa timilifu(perfect)... yaani Mbingu utaionea hapahapa duniani.

Hii huwezekana pale tu upendo unapotawala katikati yao.

Upendo[emoji3483]Mungu
 
Asante,ila Hilo Jina sasa
 
Muhimu sana vijana watambue kuoa siyo kutafuta msaidizi wa kununua unga ndani,kununua sabuni au kulipia watoto ada kuoa ni wewe kijana kuamua kuendeleza kizazi chako kwa kufuata taratibu za asili yako za kuchukuana na mtu mzima mwenzako wa kike kwenda kuanzisha nyumba yenu,kupata utulivu wa matamanio mbalimbali hasa ya kingono kwa uhalali etc.(binadamu sisi siyo mbwa,kwamba tuzalishe hovyo watoto huku tukitegea mama zao watulelee na sisi tukishiriki remotely inabidi ukilala ulale nao ukiamka uamke nao hii ndiyo asili ya familia na utu)

So hata mke akiwa std 7 muhimu ajue kusoma na kuandika ili aweze kusahihisha homework za watoto pia awe na tabia njema kwako mengine ya-set wewe kama mume tafuta mtaji mpe mradi afanye hata asipofanya chochote cha kuingiza kipato ktk circle ya utafutaji wa familia usimdharau muheshimu na mpende elewa kitendo cha yeye kukubali kukuzalia watoto na kukaa nao karibu siyo jambo la kubeza mpe credit zake kwa hilo.
 
Back
Top Bottom