Kijana unayetarajia kuoa, soma hapa

Kijana unayetarajia kuoa, soma hapa

Ikiwa umechagua mama wa nyumbani ambaye anaweza kukutunza wewe, kuwatunza wanao na kusimamia nyumba yako kikamilifu, lazima ukubali kuwa hapati pesa.

Ukichagua mwanamke mtiifu, lazima ukubali kwamba anakutegemea na lazima uhakikishe maisha yake yanakuwa mazuri
View attachment 2776737
ndoto zangu ni kua na mwanamke wa aina hii. Corporate wife wa kuamka asubuhi kwenda kupambania maisha kazini na kujenga mazoea ya kijinga na wanaume huko nje are not for me kwa kweli! Ni bora nisioe tu niishi kama mtawa.
 
Unaweza ukanuoa ambaye anaingiza kipato,yaani mwajiriwa kama wewe pia ni mwajiriwa,lakini mwisho wa siku wewe ukawa unahudumia kilakitu.Rejea stori ya yule askari magereza,ambaye hadi alifikishana na mkewe mahakamani,kisa mwanamke ni mwalimu,anapata mshahara,lakini mwanaume(ambaye ni askari),haoni mshahara wa mkewe unafanyia nini.Choose lesser between two evils.Halafu tambua workmates wa mke,wanawalaga sana makazini au loji,japo ukimuuliza mwanamke,anaruka futi mia tano,kuwa si kweli, inategemeana na akili ya maanamke,huku huyohuyo ndiye namba moja kwenye kuliwa.Choose wisely.
Hili linatokana na Aina ya familia yenu mnavyoiendesha

NDOA ni nchi mbili zilizoamua kuungana pamoja Kila nchi Ina katiba yake halafu Kuna katiba ya muungano hapo ndo itategdmea katiba yetu mmeiwekaje Mara nyingi wanaume mnakosea padogo sana na ni udhaifu wa Kila mwanaume yaani doh "cheating" hapa Kama ulikuwa unashirikiana vizuri na mkeo halafu ukaleta hili lazima uone Kila rangi
 
ndoto zangu ni kua na mwanamke wa aina hii. Corporate wife wa kuamka asubuhi kwenda kupambania maisha kazini na kujenga mazoea ya kijinga na wanaume huko nje are not for me kwa kweli! Ni bora nisioe tu niishi kama mtawa.
karibu uwe katibu kwenye chama chetu
#KATAA NDOA
 
Zama zimebadilika sana mkuu, tunawapeleka binti zetu shule ili nao wawe na career, wawe na kipato, wasaidie jamii zao.

Lakini pia, kwa hivi vipato vya sasa ni % ndogo sana wanaweza kumudu bila kusaidiana, sio lazima wote waajiriwe, kuna miradi ya familia mmoja kati yenu anaweza kusimamia.

Tupo kwa dunia ya kibepari, kila kitu kinalipiwa, zama zimebadilika.
Unajitahidi kuwaelewesha mbuzi Mzee baba..unaongea fact kabisa ,tunaishi dunia ya kibepari kila kitu kinalipiwa ukitaka kujua huu nimwiba why tunasomesha binti zetu au why watafute carrier??
 
Unajitahidi kuwaelewesha mbuzi Mzee baba..unaongea fact kabisa ,tunaishi dunia ya kibepari kila kitu kinalipiwa ukitaka kujua huu nimwiba why tunasomesha binti zetu au why watafute carrier??
Tena wazee wanaokataza wake zao wanajitahidi sana kuwasimamia binti zao wawe vizuri
 
Back
Top Bottom