Kijana unayetarajia kuoa, soma hapa

Kijana unayetarajia kuoa, soma hapa

kila kitu kina faida na hasara, wa la saba B ana faida na hasara zake, hawa wa masters za adiminstration halikadhalika,Ila kwa life la sasa kwa mishahara hii ya tozo individuals wote mkiwa na kazi atleast, ila kuoa mke anakuomba mpaka hela ya chumvi hatari iyo huez miliki hata babewalker hapo[emoji1787]
Baby walker mbali

Pikipiki tu huwezi kuwa nayo

#KATAA NDOA
 
Wanaume,

Ili uweze kumudu hao wanawake wote aliowataja mleta uzi, unapaswa kuwa na uwezo wa KUMUHUDUMIA, KUMUONGOZA, KUMLINDA na KIPIGA SHOW(Sex).

Ukiwa na uwezo wa hayo mambo manne, wewe angalia Mwanamke yeyote atakayekufaa, kisha MUOE. Haijalishi ana kazi au hana kazi, Mzuri au Mbaya, mweupe au mweusi, maarufu au sio maarufu, tajiri au Masikini.

IKIWA huna uwezo wa hayo mambo, basi KAA MBALI NA NDOA, maana utakufa kabla ya umri wako. Enjoy your Life.

Be a Man.
Hapo kwenye kuhudumia ndiyo wanaume tunakwama wengi.

UNAMPA HELA YA KODI YEYE ANAENDA KUSUKIA YOTE RASTA BANDIA MPAKA KIUNONI , UKIRUDI ANAKUCHEKEA ANAKUAMBIA MUME WANGU NIMEPENDEZA.
 
Bado naendelea kuwasiliana na Mariam kwa karibu mtoto wa shangazi najua itafika muda atakubali nimuoe .

Ikishindikana nitaujulisha hata ukoo umueleze adhma yangu na pia ajue ni jukumu lake kuolewa na mimi sio nitafute magubegube yaje kunirarua wakati ndugu yangu wa kuoa yupo .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Kwani binamu yake ni wewe tuu hakuna wengine ? Muoe tu binamu wengine wakija hakuna shida mtakuwa mnazunguka humo humo wote[emoji3][emoji3]
 
Wakati wa kuchagua mke anayefanya kazi, unapaswa kukubali kwamba hawezi kushughulika muda mwingi na maswala ya nyumbani

Ikiwa umechagua mama wa nyumbani ambaye anaweza kukutunza wewe, kuwatunza wanao na kusimamia nyumba yako kikamilifu, lazima ukubali kuwa hapati pesa.

Ukichagua mwanamke mtiifu, lazima ukubali kwamba anakutegemea na lazima uhakikishe maisha yake yanakuwa mazuri

Ukiamua kuwa na mwanamke mwenye mpambanaji, lazima ukubali kuwa yeye ni mpambanaji na ana maono yake mwenyewe.

Ikiwa unachagua mwanamke mzuri, basi itabidi ukubali gharama

Ikiwa unaamua kuwa na mwanamke aliyefanikiwa, ni lazima uelewe kwamba ana tabia na ana malengo na matarajio yake.

Hakuna kitu kama ukamilifu. Kila mtu ana kitendawili chake, ambacho humfanya kuwa wa kipekee.

fikiria chukua hatua

Jumatatu njema wananzengo

View attachment 2776737
Fact
 
Kwani binamu yake ni wewe tuu hakuna wengine ? Muoe tu binamu wengine wakija hakuna shida mtakuwa mnazunguka humo humo wote[emoji3][emoji3]
Mariamu anashape kali , ni mzuri sioni haja aolewe na mwingine hasa kwa ndugu zangu wengine maana hakuna mwenye hela kama mimi kwasasa baada ya hela ya urithi hivyo nampendea mema mariam zaidi kuliko binamu wengine .

Ukizingatia tumewahi kufanya mara kadhaa tukiwa wadogo

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Mariamu anashape kali , ni mzuri sioni haja aolewe na mwingine hasa kwa ndugu zangu wengine maana hakuna mwenye hela kama mimi kwasasa baada ya hela ya urithi hivyo nampendea mema mariam zaidi kuliko binamu wengine .

Ukizingatia tumewahi kufanya mara kadhaa tukiwa wadogo

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Kwani ukiwa na hela ndiyo sababu yakutoibiwa? Hizo hizo pesa zako anaweza chukua na kumpa ndugu yako mwingine akamwagilie moyo, omba tu awe na tabia njema, pesa si kigezo cha mwisho katika ndoa kuna vitu vingi sana.
 
Mwanamke wangu anaangukia kwenye hili kundi ''Ikiwa unachagua mwanamke mzuri, basi itabidi ukubali gharama''; yaani huwa sipitii bar wala kuchelewa kufika nyumbani, kwa sababu mke wangu ni mzuri,,muda wote ananishawishi niwe naye karibu.

Nawashauri, ''oeni wanawake wazuri ili muwahi kufika majumbani mwenu''.​
 
Sasa wale wabaya aone nani?
 
Mimi kwakweli mwenzi wangu kuna jambo anafanya simuelewi.

Ila ameanza siku si nyingi baada ya kuanza kuipinga hii awamu ya kifisadi.

Itakua wameniloga hawa watu wa kizimjob maana ni washirikina sana.
 
Back
Top Bottom