Kijana unayetarajia kuoa, soma hapa

Kijana unayetarajia kuoa, soma hapa

Kwani ukiwa na hela ndiyo sababu yakutoibiwa? Hizo hizo pesa zako anaweza chukua na kumpa ndugu yako mwingine akamwagilie moyo, omba tu awe na tabia njema, pesa si kigezo cha mwisho katika ndoa kuna vitu vingi sana.
Mimi hata akiiba sawa ila nataka aje tuzile wote zikiisha tutazitafuta tu as long as ni ndugu yangu pia hawezi niacha kizembe.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom