CONTRARIAN
JF-Expert Member
- Jun 21, 2023
- 983
- 3,183
Umesomeshwa bure tuuWazee wako wanajua?
Umesomeshwa bure tuuWazee wako wanajua?
Mnywa gongoUmesomeshwa bure tuu
Sema Dogo, ukilewa unabwabaja sanaChimpumu
Juzi ulivyolewa ukawa unapiga kelele eti tukuache tuu ufe huna hamu na maisha tenaMnywa gongo
Ukilewa unapanda juu ya mezaSema Dogo, ukilewa unabwabaja sana
Ulivyolewa tu unaanza kuchapa KingerezaJuzi ulivyolewa ukawa unapiga kelele eti tukuache tuu ufe huna hamu na maisha tena
Na hilo gauni lako la guniaJuzi ulivyolewa ukawa unapiga kelele eti tukuache tuu ufe huna hamu na maisha tena
vp umeolewa? Au bado upo singleGood
Kila la kheri
Pombe Imekufubaza kijana.Ulivyolewa tu unaanza kuchapa Kingereza
Sasa mtoto mdogo unaroga wenzako ili?Ukilewa unapanda juu ya meza
Onja na wewe ikufubazePombe Imekufubaza kijana.
Panda juu ya bati ukawangeSasa mtoto mdogo unaroga wenzako ili?
Unaona unavyojua angle zakoPanda juu ya bati ukawange
Hapo upo kwa Mzee jungu nini?Onja na wewe ikufubaze
Ushahama kule unapoishi kwa Bibi Fisi?Unaona unavyojua angle zako
We upo kwa Bibi Paka?Hapo upo kwa Mzee jungu nini?
Halafu acha kusumbua PMUshahama kule unapoishi kwa Bibi Fisi?
Oya palestina leo kashinda?We upo kwa Bibi Paka?
Maana ukilewa unawaza vita tuuWe upo kwa Bibi Paka?