Yo majesty
JF-Expert Member
- Sep 13, 2023
- 705
- 1,222
Baba dereva
Mama conductor
Watoto mizigo
OVER:
Mama conductor
Watoto mizigo
OVER:
Perfect
Ila
KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
Mjomba hii sio kweli km wewe pmj na mkeo mnalipwa 1.5m(mf)na mnashirikiana kuiendesha familia na maisha yanaenda na ww unauona unafuu kiasi unaamini peke yko ingekuwa ngumu lkn liko jeshi la mtu mmoja anapokea ×2 ya kiasi mnachokusanya ww na mkeo sasa huyu anashindwa vp kusimamia familia mwenyewehao wanaosema mke abaki ndani wengi ni keyboard wariors
kwa huu uchumi wa sasaivi mwanaume peke yake hawezi kumudu familia
ni wachache wana uchumi huoMjomba hii sio kweli km wewe pmj na mkeo mnalipwa 1.5m(mf)na mnashirikiana kuiendesha familia na maisha yanaenda na ww unauona unafuu kiasi unaamini peke yko ingekuwa ngumu lkn liko jeshi la mtu mmoja anapokea ×2 ya kiasi mnachokusanya ww na mkeo sasa huyu anashindwa vp kusimamia familia mwenyewe
SanaNDOA INARUDISHA NYUMA MAENDELEO YA KE
Great comment from great thinkerMuhimu sana vijana watambue kuoa siyo kutafuta msaidizi wa kununua unga ndani,kununua sabuni au kulipia watoto ada kuoa ni wewe kijana kuamua kuendeleza kizazi chako kwa kufuata taratibu za asili yako za kuchukuana na mtu mzima mwenzako wa kike kwenda kuanzisha nyumba yenu,kupata utulivu wa matamanio mbalimbali hasa ya kingono kwa uhalali etc.(binadamu sisi siyo kama mbwa,kwamba tuzalishe hovyo watoto huku tukitegea mama zao watulelee na sisi tukishiriki remotely inabidi ukilala ulale nao ukiamka uamke nao hii ndiyo asili ya familia na utu)
So hata mke akiwa std 7 muhimu ajue kusoma na kuandika ili aweze kusahihisha homework za watoto pia awe na tabia njema kwako mengine ya-set wewe kama mume tafuta mtaji mpe mradi afanye hata asipofanya chochote cha kuingiza kipato ktk circle ya utafutaji wa familia usimdharau muheshimu na mpende elewa kitendo cha yeye kukubali kukuzalia watoto na kukaa nao karibu siyo jambo la kubeza mpe credit zake kwa hilo.
Wewe unaelewa mpaka kwenye makala VAT[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi nikuoe ili ajue umeolewa
Penzi kitovu Cha uzembeNgoswe
Ndugu hawagombanagi hadharaniMUONGO WEWE
NDOA NI NEEMA KWAKO
NDOA NI AJIRA KWAKO
NDOA NI MAISHA MTELEZO KWAKO
Maombi yanavunja Hadi nguvu za shetaniIt will take very long for her prayers to change my mind though.
Wa oaji wameniharibia Uzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asante nimekaribia ila nasoma comments tu za waoaji watarajiwa [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eh! eh! eh! eh! eh! eh!... Hadi vidole vishakuw vilaini... Ebu piga na u attach picha nyingne tatu za hvo hvo kama hizo[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu ukifanya masihara unaliwa weweamenionesha picha ya shemej yetu, sema nakulaga sana mashemeji lakn kwa huyu hapana kwakwel
Astakafirullahlaini zaidi ya mucous membrane iliyo ndani ya K
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kooo Leo upo na Janetena nimesave avatar yako chap , leo hii saa 5 nikilala, naruka nayo na evening glory
Abiria jeBaba dereva
Mama conductor
Watoto mizigo
OVER:
Doh mbombo ngafuKuanzia sasa wewe na [mention]dronedrake [/mention] ni mke na mume.
[emoji3059][emoji3059][emoji3059]Sana
Waoaji wote wauone ujumbe huu konkiWakati wa kuchagua mke anayefanya kazi, unapaswa kukubali kwamba hawezi kushughulika muda mwingi na maswala ya nyumbani
Ikiwa umechagua mama wa nyumbani ambaye anaweza kukutunza wewe, kuwatunza wanao na kusimamia nyumba yako kikamilifu, lazima ukubali kuwa hapati pesa.
Ukichagua mwanamke mtiifu, lazima ukubali kwamba anakutegemea na lazima uhakikishe maisha yake yanakuwa mazuri
Ukiamua kuwa na mwanamke mwenye mpambanaji, lazima ukubali kuwa yeye ni mpambanaji na ana maono yake mwenyewe.
Ikiwa unachagua mwanamke mzuri, basi itabidi ukubali gharama
Ikiwa unaamua kuwa na mwanamke aliyefanikiwa, ni lazima uelewe kwamba ana tabia na ana malengo na matarajio yake.
Hakuna kitu kama ukamilifu. Kila mtu ana kitendawili chake, ambacho humfanya kuwa wa kipekee.
fikiria chukua hatua
Jumatatu njema wananzengo
View attachment 2776737
Unaweza ukanuoa ambaye anaingiza kipato,yaani mwajiriwa kama wewe pia ni mwajiriwa,lakini mwisho wa siku wewe ukawa unahudumia kilakitu.Rejea stori ya yule askari magereza,ambaye hadi alifikishana na mkewe mahakamani,kisa mwanamke ni mwalimu,anapata mshahara,lakini mwanaume(ambaye ni askari),haoni mshahara wa mkewe unafanyia nini.Choose lesser between two evils.Halafu tambua workmates wa mke,wanawalaga sana makazini au loji,japo ukimuuliza mwanamke,anaruka futi mia tano,kuwa si kweli, inategemeana na akili ya maanamke,huku huyohuyo ndiye namba moja kwenye kuliwa.Choose wisely.kila kitu kina faida na hasara, wa la saba B ana faida na hasara zake, hawa wa masters za adiminstration halikadhalika,Ila kwa life la sasa kwa mishahara hii ya tozo individuals wote mkiwa na kazi atleast, ila kuoa mke anakuomba mpaka hela ya chumvi hatari iyo huez miliki hata babewalker hapo🤣