Ndondombi Mulin
JF-Expert Member
- Mar 13, 2016
- 814
- 3,592
Wanaume,
Ili uweze kumudu hao wanawake wote aliowataja mleta uzi, unapaswa kuwa na uwezo wa KUMUHUDUMIA, KUMUONGOZA, KUMLINDA na KIPIGA SHOW(Sex).
Ukiwa na uwezo wa hayo mambo manne, wewe angalia Mwanamke yeyote atakayekufaa, kisha MUOE. Haijalishi ana kazi au hana kazi, Mzuri au Mbaya, mweupe au mweusi, maarufu au sio maarufu, tajiri au Masikini.
IKIWA huna uwezo wa hayo mambo, basi KAA MBALI NA NDOA, maana utakufa kabla ya umri wako. Enjoy your Life.
Be a Man.