Kijana unayetarajia kuoa, soma hapa

Kijana unayetarajia kuoa, soma hapa

Mkioana inatakiwa maono yenu yawe sawa.
Mnakuwa na maono ya pamoja.

Ukiona mke ana maono na mipango tofauti na mumewe and vice-versa. Hakuna ndoa hicho ni kikundi cha watu wamekutana kupoteza muda.

Hata washirika kwenye biashara , lazima wawe na mipango sawa. Hata kama maono yanatofautiana lazima maono ya mtu mmoja yafuatwe na kuzizingatiwa. Nje ya hapo mtagawana mbao tuu.
Perfect
 
Tena akiwa mama wa nyumbani ni kheri wale wa maofisini wanafanya vitu kwa akili sio zile za

"Mume wangu huwa anatoka saa mbili na kurudi saa 12 jioni, kwa hiyo kuanzia saa mbili hadi tisa nakuwa free, yani hapo nakuskiza wewe tu mahii " 😁😁😁
😂😂
 
Malengo ya kuoa hayafananani.
Wapo uoa kwa ajili ya
1.ngono
2.mapenzi na faraja
3.House keeper
4.watoto
5.business partner
6.heshima sababu ya wazifa alionao.
Huwezi pata mwenye sifa zote hizo
 
Ukitaka ku enjoy haya maisha
Wewe mfanye mkeo kua chombo cha starehe!!
Yaan kama uipendavyo gari au kitu chako basi mfanye nae kua mmja wao

Wanawake wanye pesa wana nyodo/kejeli na kujisikia
Hua nawaangalia tu
Tafuta asie na kitu
Afu mpende mtunze KWAJILI YA STAREHE YAKO!
 
dronedrake ana mke mzuri sana mtulivu[emoji23],... Ana tutoto tuzur tuwili, kamoja ka kiume na ka kike kamoja tuzur kanaitw ka maiko kengne ka kike kanaitwa ka frola... Sasa hii "kataa ndoa" tunaomba uncle dronedrake utufafanulieeee...[emoji23]
 
mke wangu muzuri huyu hapa

mke_wangu.jpg
 
Ukitaka ku enjoy haya maisha
Wewe mfanye mkeo kua chombo cha starehe!!
Yaan kama uipendavyo gari au kitu chako basi mfanye nae kua mmja wao

Wanawake wanye pesa wana nyodo/kejeli na kujisikia
Hua nawaangalia tu
Tafuta asie na kitu
Afu mpende mtunze KWAJILI YA STAREHE YAKO!
Mbombo nghafu
 
dronedrake ana mke mzuri sana mtulivu[emoji23],... Ana tutoto tuzur tuwili, kamoja ka kiume na ka kike kamoja tuzur kanaitw ka maiko kengne ka kike kanaitwa ka frola... Sasa hii "kataa ndoa" tunaomba uncle dronedrake utufafanulieeee...[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anakataza wenzake kuoa huku yeye anaamka na morning glory
 
Back
Top Bottom