Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 5,290
- 10,125
- Thread starter
- #301
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]doh wanaume mnazidi kuisha anyway
NDOA NI UKATILI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]doh wanaume mnazidi kuisha anyway
ilikuaje?Dah, umenikumbusha mbali sana
Na ni mbombo ngafu kweliMbombo nghafu
Someone there she's praying to marry youKweny jambo hili la kuoa Mungu tu aingilie kat jmn
NDOA NI NEEMA KWA KE, NDOA NI ADHABU KWA MENDOA NI UKATILI
AAH MTAWAPIGA WAJINGA, SIYO MIMIdoh wanaume mnazidi kuisha anyway
Jamaa alinitema kisa najua helailikuaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na ni mbombo ngafu kweli
Kwanza bora hata awe kipofu
Sasa wewe Mimi mfuasi mwenzio wa kataa NDOA then unanipa madongo tenaNDOA NI NEEMA KWA KE, NDOA NI ADHABU KWA ME
AAH MTAWAPIGA WAJINGA, SIYO MIMI
Alikutema kisa unajua hela au ulikua na tamaa?Jamaa alinitema kisa najua hela
Kisa najua kuisaka hela siwezi kuwa Maza house dohAlikutema kisa unajua hela au ulikua na tamaa?
MUONGO WEWESasa wewe Mimi mfuasi mwenzio wa kataa NDOA then unanipa madongo tena
It will take very long for her prayers to change my mind though.Someone there she's praying to marry you
Kama ulikua unapenda kujishughulisha hilo lilikua ni jambo zuri ilitakiwa kuelewana hakutakiwa kukuacha ila kama ulikua na tamaa alikua sahihi kukuachaKisa najua kuisaka hela siwezi kuwa Maza house doh
Asante nimekaribia ila nasoma comments tu za waoaji watarajiwa 😂Karibu mkeka huo hapo
Kama anakataa muache. Ukilazimisha hii tabia ya kusita sita itarudi huko mbeleniShida anakataa kwa kusema hayawezi maisha yangu wakati mimi naona mimi na yeye tunaendana ila nitamuoa tu hata kwa kumbeba
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Good oneWakati wa kuchagua mke anayefanya kazi, unapaswa kukubali kwamba hawezi kushughulika muda mwingi na maswala ya nyumbani
Ikiwa umechagua mama wa nyumbani ambaye anaweza kukutunza wewe, kuwatunza wanao na kusimamia nyumba yako kikamilifu, lazima ukubali kuwa hapati pesa.
Ukichagua mwanamke mtiifu, lazima ukubali kwamba anakutegemea na lazima uhakikishe maisha yake yanakuwa mazuri
Ukiamua kuwa na mwanamke mwenye mpambanaji, lazima ukubali kuwa yeye ni mpambanaji na ana maono yake mwenyewe.
Ikiwa unachagua mwanamke mzuri, basi itabidi ukubali gharama
Ikiwa unaamua kuwa na mwanamke aliyefanikiwa, ni lazima uelewe kwamba ana tabia na ana malengo na matarajio yake.
Hakuna kitu kama ukamilifu. Kila mtu ana kitendawili chake, ambacho humfanya kuwa wa kipekee.
fikiria chukua hatua
Jumatatu njema wananzengo
View attachment 2776737
eh! eh! eh! eh! eh! eh!... Hadi vidole vishakuw vilaini... Ebu piga na u attach picha nyingne tatu za hvo hvo kama hizo[emoji23]
amenionesha picha ya shemej yetu, sema nakulaga sana mashemeji lakn kwa huyu hapana kwakwel[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anakataza wenzake kuoa huku yeye anaamka na morning glory
laini zaidi ya mucous membrane iliyo ndani ya Kvishakuw vilaini..
tena nimesave avatar yako chap , leo hii saa 5 nikilala, naruka nayo na evening glory[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anakataza wenzake kuoa huku yeye anaamka na morning glory