Kijana unayetarajia kuoa, soma hapa

Kijana unayetarajia kuoa, soma hapa

somo zuri sana,barikiwa pisi kali 😉
 
Wakati wa kuchagua mke anayefanya kazi, unapaswa kukubali kwamba hawezi kushughulika muda mwingi na maswala ya nyumbani

Ikiwa umechagua mama wa nyumbani ambaye anaweza kukutunza wewe, kuwatunza wanao na kusimamia nyumba yako kikamilifu, lazima ukubali kuwa hapati pesa.

Ukichagua mwanamke mtiifu, lazima ukubali kwamba anakutegemea na lazima uhakikishe maisha yake yanakuwa mazuri

Ukiamua kuwa na mwanamke mwenye mpambanaji, lazima ukubali kuwa yeye ni mpambanaji na ana maono yake mwenyewe.

Ikiwa unachagua mwanamke mzuri, basi itabidi ukubali gharama

Ikiwa unaamua kuwa na mwanamke aliyefanikiwa, ni lazima uelewe kwamba ana tabia na ana malengo na matarajio yake.

Hakuna kitu kama ukamilifu. Kila mtu ana kitendawili chake, ambacho humfanya kuwa wa kipekee.

fikiria chukua hatua

Jumatatu njema wananzengo

View attachment 2776737
Kwenye ndoa, kila mtu anapaswa kujitambua na kuisimamia nafasi yake.

Mtu anaweza kushinda nyumbani na asitimize majukumu yake vilevile.
 
kila kitu kina faida na hasara, wa la saba B ana faida na hasara zake, hawa wa masters za adiminstration halikadhalika,Ila kwa life la sasa kwa mishahara hii ya tozo individuals wote mkiwa na kazi atleast, ila kuoa mke anakuomba mpaka hela ya chumvi hatari iyo huez miliki hata babewalker hapo🤣
Waterbender mshamba_hachekwi sasa mbona wanaume wengi wanalalamika mishahara ya wake zao haisaidii kitu kwenye familia?
 
Wakati wa kuchagua mke anayefanya kazi, unapaswa kukubali kwamba hawezi kushughulika muda mwingi na maswala ya nyumbani

Ikiwa umechagua mama wa nyumbani ambaye anaweza kukutunza wewe, kuwatunza wanao na kusimamia nyumba yako kikamilifu, lazima ukubali kuwa hapati pesa.

Ukichagua mwanamke mtiifu, lazima ukubali kwamba anakutegemea na lazima uhakikishe maisha yake yanakuwa mazuri

Ukiamua kuwa na mwanamke mwenye mpambanaji, lazima ukubali kuwa yeye ni mpambanaji na ana maono yake mwenyewe.

Ikiwa unachagua mwanamke mzuri, basi itabidi ukubali gharama

Ikiwa unaamua kuwa na mwanamke aliyefanikiwa, ni lazima uelewe kwamba ana tabia na ana malengo na matarajio yake.

Hakuna kitu kama ukamilifu. Kila mtu ana kitendawili chake, ambacho humfanya kuwa wa kipekee.

fikiria chukua hatua

Jumatatu njema wananzengo

View attachment 2776737
Haki elimu. Ng'eee ng'eeee
 
Mkioana inatakiwa maono yenu yawe sawa.
Mnakuwa na maono ya pamoja.

Ukiona mke ana maono na mipango tofauti na mumewe and vice-versa. Hakuna ndoa hicho ni kikundi cha watu wamekutana kupoteza muda.

Hata washirika kwenye biashara , lazima wawe na mipango sawa. Hata kama maono yanatofautiana lazima maono ya mtu mmoja yafuatwe na kuzizingatiwa. Nje ya hapo mtagawana mbao tuu.
 
Back
Top Bottom