Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,484
- 5,142
Namnumkuu Mh Warioba alisema "Ukiona jamii yeyote wazee na vijana wapo kundi moja basi iyo jamii itakuwa na mapungufu makubwa ya kufikiri". Mimi binafsi nitaendelea kuamini hii kauli ya Warioba, au vp mwana FA?Mkuu demokrasia ni ushindani. Vijana wana haki ya kuunga na kujiunga na chama chochote kila. Kama vyama vingine vina taka vijana wa umri tajwa basi ni juhudi zao kuwa recruit. That is multipatism in practice.
Inawezekana kuwapinga coz kura ni siri.Mkuu una maana hao wazee unadhani wapo CCM watapingwa hadi na watoto wao?
<br /><b>Mkuu demokrasia ni ushindani. Vijana wana haki ya kuunga na kujiunga na chama chochote kila. Kama vyama vingine vina taka vijana wa umri tajwa basi ni juhudi zao kuwa recruit. That is multipatism in practice.</b>
<br />Si vijana peke yao. Mwaka jana baada ya uchaguzi Moshi njiani kurudi Dar-es-Salaam tulisimama Korogwe kuongeza mafuta. Gari ya mbele ilikuwa ya Freeman Mbowe na mimi nilikuwa gari inayofuatia. Ukaja umati pale kutupa sapoti na alikuwepo mzee mmoja mwenye umri nakisia kuwa miaka 75 kuendelea mbele akitembea kwa taabu. Akaelekea gari ya Freeman na mimi nikashuka kusikia anachotaka kumwambia mwenyekiti wa Chadema.<br />
Mzee huyo alisema "ninyi ndio wakombozi wetu." That is all the message he wanted to share with Freeman. Nikamwangalia yule mzee sikummaliza. Nikasema huyu mzee amekuwepo enzi za TANU. Alikuwa kijana na amekomaa enzi za CCM. Leo anatambua kuwa CCM si mkombozi wake tena.<br />
I carry that picture in my head all the time. Kwa hiyo si vijana peke yao. Kwa wote wale wanaoitakia mema Tanzania CCM si mkombozi wao.
kwa mtizamo wangu katika kipindi hiki cha miaka 50 ya uhuru kama yupo kijana mwenye umri huo tajwa hapo juu ambae bado anaishabikia ccm inabidi akimbizwe milembe kwani kwani akili yake itakuwa ina ufa na hvo anahitaji uchunguzi wa kina. Katika nyanja zote kiuchumi, kisiasa,kijamii n.k. Bado tuna safari ndefu ya kutembea........ukweli ccm haijaitendea haki nchi yangu tanzania hivyo sioni sababu ya kijana ambaye bado uwezo wake wa kufikiri bado uko juu ashabikie upumbavu.
(like) hapo umeongea la maana! Big up.Napingana na hoja. Ukweli ni kwamba ukimwona Mtanzania yeyote awe kijana au mzee na bado anasuport CCM ujue huyo ana mapungufu kichwani mwake. Full stop!