mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 543
- 1,839
Leo nimeona niruke na kupepea kimadoido na vijana mlioko/mlihitimu vyuo vikuu na wadau wote wa maendeleo ya vijana katika ardhi ya bibi kizimkazi na haya mambo kadhaa ya muhimu yampasayo kijana kuzingatia ili kuyakabili maisha na changamoto zake za umasikini
1. Futa kabisa wazo la kuajiriwa, ajira kwako ifanye kuwa chaguo la Mwisho la sivyo yatakukuta, lakini usisite kuomba ajira pindi itakapojitokeza, isipokuwa tu kwa kazi yenye laana ya UPOLISI!
2. Passport ni nyenzo muhimu sana kwako kijana, dunia imechanganya tafuta marisho na fulsa nje ya mipaka, hacheni uwoga wakindezi.
3. Driving licence, ni aibu na ujinga kwa kijana wa kisasa kutokuwa na ujuzi wa kuendesha vyombo vya moto, hii ni kitu kidogo ila muhimu sana, ujuzi huu ni nyenzo muhimu katika nchi zilizoendelea, itakufungulia fursa, siku zote fikiria kuanza na kitu kidogo.
4. Tengeneza mahusiano na watu wengi nje ya mfumo wako wa elimu, hao ndio waliobeba njia na maono yakukufanya uyafikie malengo yako, marafiki zako wa shule ni muhimu ila kwa bahati wote mna uono sawa hivyo nivigumu kuvushana, labda kwa fluke
5. Futa na kataa starehe kabisa kijana, maana kuna mstari mdogo sana unaomtenganisha kijana wa kike masikini anaependa starehe na ukahaba /lakini pia mstari ni mwembaba mno unaomtenganisha kijana masikini wa kiume anaependa starehe na kusukumiwa rungu la matopeni, chunga sana matako yako kijana.
6. Hakikisha unakuwa na ujuzi wa ziada mbali na taaluma yako mfano siku hizi mambo ya data science y kama r Programming, python, SQL na vitu vingine vingi, vinavyosomeka hata online tena bure, lakini mbali na hivyo jitahidi unakuwa na uelewa mkubwa wa mambo ya kimtandao sababu dunia ndiko ilikohamia.
7. Acha kufuatilia maisha ya watu wengine, ni kosa la jinai kujilinganisha na mtu mwingine , isipokuwa ongeza utii na heshima kwa magwiji na wakubwa zako kitaani, huenda jicho lao la huruma likakuona
8. Mtegemee Mungu ila usimezwe na mambo ya makanisa na misikiti, kamwe usitegemee miujiza ya matapeli kama kina mwamposa, gwaji boy na wengine wengi, dunia haina huruma, na rehema ya Mungu kamwe haimuangukii mtu mvivu.
9.usiendekeze mapenzi na ndoa, muda haukusubiri, ukiona kichwa chako ni chapanzi na hauwezi kuhimili misukosuko ya mahusiano ni bora ujikite kwenye punyeto, utaokoa muda na pesa zako.