Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,304
- 29,851
Kuna mda huwa nawaza naishia kucheka tu , ivi mtu una miaka zaidi ya saba wewe unauzaga popcorn tu, wengine wanatembeza Maji barabarani nusra wagongwe na magari Kwa faida ya elfu tano kwa siku.
Mtaji ni changamoto lakini ebu sisi kama vijana tujitahidi kusave kidogo kidogo ili tutoke huko kwenye uchuuzi wa hand to mouth, upo Dar miaka zaidi ya kumi hutaki kurudi kwenu afu biashara yenyewe unauza mahindi ya kuchoma vyombo Dovya. Huna akili.