Kijana huwezi tajirika kwa kuuza popcorn Makumbusho

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,837
Kuna mda huwa nawaza naishia kucheka tu , ivi mtu una miaka zaidi ya saba wewe unauzaga popcorn tu, wengine wanatembeza Maji barabarani nusra wagongwe na magari Kwa faida ya elfu tano kwa siku.

Mtaji ni changamoto lakini ebu sisi kama vijana tujitahidi kusave kidogo kidogo ili tutoke huko kwenye uchuuzi wa hand to mouth, upo Dar miaka zaidi ya kumi hutaki kurudi kwenu afu biashara yenyewe unauza mahindi ya kuchoma vyombo Dovya. Huna akili.
 
Kila unapo kuja mjini bila konekisheni kutoboa sio rahisi wengi walio kuja miaka ya 2000 bila wenyeji wanao eleweka bado wako ubungo wengine mbezi magufuli wana sukuma turoli wengine wana uza maji wagine wapiga debe, maisha yanahitaji msaada ya mtu alio toboa, ni wachache wanao fanikiwa bila msaada wa ndgu jamaa au rafiki.
 
Unataka nani auze popcorn, wazee?
 
Tatixo kila aliyetoboa anajifanya katoboa kama jeshi la mtu mmoja wakat ni kinyume..
Kama alivosema myu hapo juu kutoboa bila msada wa waliotoboa ni ngumu..
La sivyo ndio utabaki hvo umeoanga room moja na subwoofer miaka inaenda
Tatizo hao vijana hawana nidhamu wana dharau wengine wana roho mbaya ukimsaidia akifanikiwa anaanza kukusema vibaya sana wengine anatamani kukuroga urudi uliko tokea, bora kuwaacha waendelee kuuza popcorn na maji barabarani.
 
Kuna mda huwa nawaza naishia kucheka tu , ivi mtu una miaka zaidi ya saba wewe unauzaga popcorn tu, wengine wanatembeza Maji barabarani nusra wagongwe na magari Kwa faida ya elfu tano kwa siku.

Mtaji ni changamoto lakini ebu sisi kama vijana tujitahidi kusave kidogo kidogo ili tutoke huko kwenye uchuuzi wa hand to mouth, upo Dar miaka zaidi ya kumi hutaki kurudi kwenu afu biashara yenyewe unauza mahindi ya kuchoma vyombo Dovya. Huna akili.
Huu ni ukweli mchungu
 
hatufanani mpwayungu na haitatokea tunafanana mtu yupo USA na ni kinyozi mdogo miaka na miaka kila mtu anamalengo yake wengine malengo yao ni kuwa tu na amani ya moyo basi..
 
Kila unapo kuja mjini bila konekisheni kutoboa sio rahisi wengi walio kuja miaka ya 2000 bila wenyeji wanao eleweka bado wako ubungo wengine mbezi magufuli wana sukuma turoli wengine wana uza maji wagine wapiga debe, maisha yanahitaji msaada ya mtu alio toboa, ni wachache wanao fanikiwa bila msaada wa ndgu jamaa au rafiki.
ishu ni mipango thabiti ya maisha hasa kupunguza sana matumizi yasiyo ya lazima!

mfano msukuma toroli unayemdharau hapa akitunza elfu 3 kwa siku anapata minimum Tshs 70 kwa mwezi

kwa mwaka ana laki 8 na 40.

kwa miaka mitano kama ataendelea na hiyo kazi ana milioni 4 na ushee!

hizo hela kamuombe mwalimu kasheshe Mpwayungu Village uone kama hujatukanwa
 
Kuna mda huwa nawaza naishia kucheka tu , ivi mtu una miaka zaidi ya saba wewe unauzaga popcorn tu, wengine wanatembeza Maji barabarani nusra wagongwe na magari Kwa faida ya elfu tano kwa siku.

Mtaji ni changamoto lakini ebu sisi kama vijana tujitahidi kusave kidogo kidogo ili tutoke huko kwenye uchuuzi wa hand to mouth, upo Dar miaka zaidi ya kumi hutaki kurudi kwenu afu biashara yenyewe unauza mahindi ya kuchoma vyombo Dovya. Huna akili.
Bro! Maisha ni magumu Sana kijijini,
Hapa mjini, unaweza, kupata chakula cha Mia tano!Kijijini, inabidi ulime,uchome mkaa, utengeneze gongo,mpaka uchakae! Nani anataka mateso bro! Kama umeishapita njia ya iringa, mlima kitonga, kuna vijana wanalima nyanya, hawa hata upite usiku wa manane!utawakuta mle polini,wanasubili wateja!watu wanachuuza vitu kutafuta ahueni ya maisha, kijijini, bodaboda unambeba Nani? Hata ukilima mazao, utamuuzia Nani, watu ni maskini mno!kijijini kwetu,kaya nyingi chai ya asubuhi hakuna, watu hawawezi hata kununua majani yq chai, wanasaga kahawa, au kuchoma sukari!
 
Back
Top Bottom