Naomba nisiandike sana ila huu mchezo wa vijana ndani ya chama na serikali kuwajibu wazee walio tupatia hili taifa naomba niwakumbushe hamtodumu na wala hamtofika miaka waliofika na kama na tania muda utawajibu mtapata nafasi mtakula maisha ila mtafutika na mahala penu hapatakuwepo kama mnabisha naomba zidini kuwachamba na kuwananga wazee tukufu wa hili taifa. Nasema hamna haki nasema hamna haki wakati hamjatunga mimba wala julikana ktk dunia hawa waliona Tanzania wakaijenga na leo tuwaheshim. Hilo tu.
