Mkwai
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 306
- 96
Kupata watoto mapema au la inategemea na tafsiri ya muhusika mwenyewe; kwa dunia ya sasa kupata mtoto mapema au kuchelewa haitarajiwi uje kusaidiwa na mtoto. Wengi wanaochelewa kupata watoto sababu kubwa ni muda, huwa wana majukumu mengi ambayo wanadhani yatawanyima nafasi ya kumuhudumia mtoto ipasavyo kwa wakati husika, hivyo.
Lakini kupata mtoto mapema is the best, kama una nafasi ya kufanya hivyo ni nzuri sana kwako mzazi na ni afya zaidi kwa watoto.
Lakini kupata mtoto mapema is the best, kama una nafasi ya kufanya hivyo ni nzuri sana kwako mzazi na ni afya zaidi kwa watoto.