Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,554
TUKO PAMOJAkweli kuoa sio kuzaa na ndo maana kuna watu kibao wana ndoa ila hawana watoto tena ni makosa kabisa kusema unaoa ili uzae ndoa inakuwepo tu kuwepo watoto au wawepo.
ila kitamaduni ndoa na watoto vinaendana pamoja hata ukiwa na mtoto bila ndoa unaonekana hujakamilika au ukiwa na ndoa bila mtoto mnaonekana bado hamjakamilika hata kama hamna shida yoyote.
ila kwangu cha msingi kama mtu ana uwezo awe na familia as soon as possible .familia ina raha yake bna.